Naishi naye bila hisia

bagabe

JF-Expert Member
May 8, 2014
459
549
Wakuu nimeona nilete hii case Kwenu wana jf ili muweze kunishauri nini cha kufanya.

Ipo hivi;
Kipindi namaliza chuo miaka takribani 6 iliyopita huko kanda ya ziwa nilikutana na msichana mmoja(mpole,mzuri kiasi,ana shape imekamilika,kiufupi anafaa) katika mazingira fulani tukabadilishana namba baada ya siku kadhaa akaja ninapoishi nikala mzigo.Ni msichana mmoja hivi ambaye ana sifa zote za kuwekwa ndani na ni mcha Mungu pia.Mungu si Athuman akapata ujauzito maana tulipiga dry almost siku mbili akarudi kwao.Nilisafiri hivyo sikua hewani akaja nipata baada ya mwezi akasema ana ujauzito wangu.Kwakua napenda watoto nikakubali bila hiyana.Ikapita miezi 9 hatimaye akajifungua watoto mapacha wakike na kiume.

Wale watoto hawakukaa sana wakafariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.Nikaamua kuishi nae japo sio rasmi alikua anakuja na kuondoka baada ya hayo matatizo kwa kua alikua mpweke sana.Haikupita muda akapata tena ujauzito wa pili,muda huo naishi nae ila sijatoa barua kwao.Miezi 9 ikapita akajifungua tena mapacha watoto wakike na kiume tena.Na hao pia wakakaa wiki moja wakafiriki tena sababu kubwa madaktari walisema ni limonia.Kipindi yupo mjamzito kuna msichana nilimpata alikua ana pesa za kutosha nilispend nae kwa muda wote huo na kumsahau mama kijacho.Huyu mwenye pesa na yeye akapata ujauzito wa mapacha(nilikuja kujua baada ya kuachana nae,tulishindwana baada ya kujua naishi na mtu ndani).Baada ya yule wa mwanzo kupoteza mapacha kwa mara pili ikabidi niachane na yule mwenye pesa nikaamua ramsi kuishi nae huyu na kwenda kwao kutoa barua ya posa maisha yakaendelea na yule mwenye pesa nikaachana nae mzima japo aliumia sana.Akaja kufingua mapacha na yeye(alinipigia siku anajifungua).Japo sina mawasiliano nae kwa sasa ni mara moja moja sana kila mmoja amesha move on.

Niliendelea kuishi nae mwanamke wangu kwa almost miaka mi4 tunakula na kupakua pamoja.Nilimfungulia na biashara maisha yakawa yanaenda vizuri tu na pesa ilikua inaonekana maana ana akili sana ya maisha.Kuna kipindi hapa katikati nilimfuma na meseji za mshikaji mwingine wa mtaani kwao hazikua nzuri hata kidogo.Na inaonekana jamaa alikua mtu wake huko zamani kwahiyo amerudi kwa kasi wakawa wanajiachia kwenye simu.Niliumia sana na nilichukua uamuzi wakumuacha lakini akaja na utetezi wake kwa namna fulani nikajawa na huruma nikamsamehe maisha yakaendelea.Baada ya tukio hilo tukawa tunaishi lakini hisia zikaanza kupungua taratibu nikawa sina hamu nae kama zamani.Ilifika kipindi nikiwa na sex nae navuta picha ya mademu wengine niliotoka nao ndipo nakojoa kwa wakati.Na kipindi chote hicho baada ya wale mapacha kufariki hajawahi tena kushika ujauzito imepita miaka miwili sasa na mimi nahitaji familia umri unasogea(wale mapacha wa yule nilie achana nae sijawahi hata kuwaona hivyo sina uhakika nao kama ni kweli ama lah).

Huyu binti amenisaidia vitu vingi sana na kunishauri mambo mengi kwenye maisha ila tatizo kwa sasa ni moja tu sina hisia nae kabisa.Hii inanipelekea kutaka kutafuta wasichana wengine nje ili nipate hisia za kweli.Je,nifanyeje ili kuendelea kua kama zamani au niachane nae nitafute msichana mwenye hisia nae,maana hili suala linanitesa kwenye maisha yangu.
 
Hisia kwenye mahusiano hupotea na kuja ndio ipo hivyo ni kama tu leo unahamu ya kula ugali nyama unaweza kula mfululizo wiki ila wiki inayofuata usitamani tena kula ugali nyama ukatamani kula chips yai.

Kukosa hisia kwenye mahusiano ni hali ya kawaida unachopaswa kufanya ni kutafuta safari ukae peke yako au kuwa bisze na mambo mengine hadi hisia zitaporudi tena usilazimishe hisia.
 
Hisia kwenye mahusiano hupotea na kuja ndio ipo hivyo ni kama tu leo unahau ya kula ugali nyama unaweza kula mfululizo wiki ila wiki inayofuata usitamani tena kula ugali nyama ukatamani kula chips yai.

Nakazia. Nilitaka kuandika ulichokiandika
 
Hisia kwenye mahusiano hupotea na kuja ndio ipo hivyo ni kama tu leo unahau ya kula ugali nyama unaweza kula mfululizo wiki ila wiki inayofuata usitamani tena kula ugali nyama ukatamani kula chips yai.

Kukosa hisia kwenye mahusiano ni hali ya kawaida unachopaswa kufanya ni kutafuta safari ukae peke yako au kuwa bisze na mambo mengine hadi hisia zitaporudi tena usilazimishe hisia.

Nimekuelewa mkuu
 
Hilo jambo la kukuta anachat na mwanaume mwingine nalo ni kitu kingine,najua unajaribu kulipotezea ila ukiona tu jambo linafanana na lile moyo unakufa ganzi.Ushauri wangu ni kuwa tafuta mwanamke mwingine uoe,pia hilo jambo la kukaa nae tu bila ndoa linamfanya aanze kufikiri ndoa na watu wengine...
 
Back
Top Bottom