Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,682
- 8,810
We kiaz kweli, yan ukaibie watu alafu sheria ikuache? Na CCTV footage zipoMiaka 30 jela? JPM huko alipo atakuwa anaumia sana vijana wake kutendewa hivi
We kiaz kweli, yan ukaibie watu alafu sheria ikuache? Na CCTV footage zipoMiaka 30 jela? JPM huko alipo atakuwa anaumia sana vijana wake kutendewa hivi
Chura ndio ninimkuu mfungwa alikuwa anapenda chura sana 😬
No wako wengi tu, ila hakuna figisu za serikali, hakuna serikali kuingilia mahakama, that is what I mean!
Laana ya mama Anna Mghwira inamuandama huyu dogo. Miaka 7 jela + 34 aliyonayo atatoka akili zimekaa sawa.
Kwani hizo hukumu huwa zinatolewa bila ushahidi usiotia shaka kukamilika?.Kama mtu kahukumiwa isivyostahili kila mtu ataona na ikitokea kahukumiwa kihalali kila mtu ataona.Hila zipo na haki ipo.Haki haijawai kufichwa labda kucheleweshwa.kwahiyo acha wanaotoa mawazo yao wawe huru haijalishi wanayatoa kwa mtazamo gani.Mahakama ikimuhukumu mtu ambaye huna interest nae unaona Mahakama imetenda haki ila hiyo hiyo Mahakama ikimuhukumu mtu ambaye una interest nae unaona Mahakama haitendi haki!!
Haya nayo ni maajabu aisee.
Inaonekana umeumia sana.na bado iko siku yaja mtakayolia na kusaga meno.Unajua wewe! Usiseme kila mtu anajua kuondolee uchagadema wako hapa! Subiri mahakama wewe pimbi!
Huyo Jaji atakayemfunga Mbowe atakua mpuuzi wa mwisho na ndio mwisho was Tanzania kwenye international relation
Hivi Mjusi yule kada wa ssiem ngarenaro yuko wapiMkuu hoja yako ni kuwa Sabaya alikuwa anasumbuliwa na “utoto tu”. Hicho ndicho kisichokubalika. It’s not a credible excuse
popote pale kwa mtu wa umri wake.
Halafu usisahau kuwa aliyemteua alikuwa akijua na kuunga mkono matendo yake ya kishenzi.
Ahaaaaa imenibidi nicheke tu jf raha sana, ingawa hizo ishu sio rahisi unikute ila niliumia kwa nini sikwenda. Next time lazima niende kuosha macho.Daah mrembo, juzi umeua sana ulivyocheza na Ipupa kwa stage Mwanza
To be honest paap nilipomwona yule dada ghafla nilikukumbuka yaani, hasa hilo guu na shape.Ahaaaaa imenibidi nicheke tu jf raha sana, ingawa hizo ishu sio rahisi unikute ila niliumia kwa nini sikwenda. Next time lazima niende kuosha macho.
Kama hakuhukumiwa kifungo alihukumiwa nini?Rugemalira hakuhukumiwa kifungo kama Sabaya, kesi ya Ruge DPP aliifuta.
Ahaa si hamisa huyo ndo alikuwa acheza nae pale stage?To be honest paap nilipomwona yule dada ghafla nilikukumbuka yaani, hasa hilo guu na shape.
Sijui kwanini jamani
Ruge hakuhukumiwa bali kesi ilifutwa....Kama hakuhukumiwa kifungo alihukumiwa nini?
Anyway, thanks nisikuchoshe wacha niisake niisome.
Hamisa alicheza naye Dar.Ahaa si hamisa huyo ndo alikuwa acheza nae pale stage?
Aaah wapi sisi wanawake wa kawaida sio rahisi kutukuta kwenye hizo ishu. Hizo ishu za mastar.