Kabisa Lema tupo pamoja, wewe piga maisha huko sisi tunapiga huku kivyetu huo ndio ukamanda.Komaaa hadi 2020alafu komaa tena 2025.utakuwa umepata miujiza yakutoshaTuko pamojah Lema tunakuamini sisi wana wa A Town utatutumikia hata kama uko gerezani na 2020 tutakuchagua hata kama uko gerezani
swissme