Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

Porojo za mashoga na mapumbavu ya ccm yaliyoshikwa pabaya na chadema na bado mpaka mharishe utumbo, Heche na Lema shiria hapo hapo nguruwe mpaka wale mavi yao.
Naona think tank la chadema likijibu hoja kwa mtindo wa pekee kabisa; kujmbajamba puu puu pruuuu kwa kutumia mdomo baada ya kinyeo chake Cha kawaida kuzibwa na wajanja.
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Siri za kikao Cha ndani unaziletaje huku kama sio unafiki

Ni kama unaitetea chadema lakini between the line una agenda ya Siri ya kugawanya

Jihadharini na wanafiki
 
Hata kama Heche kazipiga kweli mbona Mwamba alipozipiga hatukusikia hizi kelele zote?

CDM ishapata hadi hati za ukaguzi zenye mashaka kutoka kwa CAG na hatukuwasikia hawa watu!

Sasa hivi ndiyo wana uchungu sana na pesa za chama?

Huu ni mradi tu unasukwa na muda si mrefu lengo lake litakuwa wazi C& P.
 
Acha kumchafua Lema. Leta Ushahidi wa Lema kumsema Heche
 
Ni jambo jema sana umeliweka hapa ili kila mtu ajiamrie mwenyewe kinachoendelea ndani ya chama.
Naungana na wewe katika hilo la "kukatisha tamaa" inapotokea viongozi wanaotumainiwa ndani ya chama kugeuka kirahisi namna hii.

Mapambano haya yatatuonyesha viongozi sahihi watakaosimamia ukombozi wa taifa hili.
 
Acha kumchafua Lema. Leta Ushahidi wa Lema kumsema Heche
Mkuu 'figga', nakuaminia sana na heshima kubwa juu
.
Yamesemwa mengi humu JF tokea siku chache zilizopita yakimhusisha Lema.

Kama unalo lililowazi kabisa la kutomhusisha ni vizuri zaidi kuliweka mbele.

Lema mwenyewe kuna maneno aliyaandika kuhusiana na jambo hili, maneno ambayo yameacha maswali kuliko majibu.
 
Msimfanye Heche ajione malaika mnakosea, anatakiwa kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake, hilo sio kosa la Lema kama ndie anamshutumu, Heche ajibu maisha yaendelee.
Duh!
yamekuwa haya tena. Mbona huu "umalaika" unakaziwa sana. Kuna mtu kasema Heche anaumalaika ndani yake?

Mimi nilidhani hili ni jambo la kipuuzi lililoletwa na waovu kuivuruga CHADEMA, na kwamba mambo yatarekebika ikishatambulika hivyo; kumbe kuna vita kali hapa? Sasa kuna kundi la Lema na lile la Heche, yanyukane kumfurahisha Samia?

Lema alisema mambo nje ya kikao cha chama; kwa hiyo haihitaji uwepo wa malaika kumhusisha na jambo hili.
Sijui kwa nini aliamua kuwa njia hiyo ndiyo sahihi; labda unaweza kusaidia kuchangia kulieleza hili kabla hatujafika huko kwa Heche, ambaye ninahakika naye siyo malaika kama unavyokazia wewe.
 
Ni wajibu wa kila mwanachama kulinda na kutetea mali za chama husika na siyo cdm tu ni vyama vyote ipo hivyo.
Mnachezeshwa vichwa kama watoto. Si umeona Selasini, mwanachama alivyotoka, au bado huelewi?
 
Kumtendea haki Lema ni kukubaliana nae kuwa Heche haaminiki kukiongoza chama wakati huu Lissu akiwa lupango si ndio?

Alafu mumuweke nani?
Nyinyi mmerogwa msikilize Nilesh alivyokana tuhums na sheikh Salum wa kamati ya Amani.alivyo msafisha Nilesh na Heche. Huyu ni kindakindaki wa serikali kaeleza ukweli. Mange kasema shida hapo ni Maridhiano. Watanzania wako macho,naomba waendelee na michango ya Baraza Kuu. mengine waya shit tu
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Hivi Heche kama makamu mwenyekiti anahusikaje kwenye fedha za chama? Wakati katibu yupo ,mwanasheria wa chama yupo ,mweka hazina yupo na boardy ya washamini ipo. Kwahiyo hao wote amewaapitaje na akaenda kutowa hela kwwnye account ya chama kwa matumizi yake binafusi? Hivi mbona wnao sambaza hizi propaganda za kumchafuwa Heche hawatowi hata document moja inayo onitsha ufisada wa Heche. Tanzania imebak kuwa nchi ya wajinga na ujinga kujaa kwenye vyombo vya habari.
 
SISIEMU wangekuwa na ushahidi wa Heche kula michango ya wadau wangeshaweka kitambo ,mbona risiti ya ndege waliweka? Nini kinawashinda kuweka statements za miamala?
 
Duh!
yamekuwa haya tena. Mbona huu "umalaika" unakaziwa sana. Kuna mtu kasema Heche anaumalaika ndani yake?

Mimi nilidhani hili ni jambo la kipuuzi lililoletwa na waovu kuivuruga CHADEMA, na kwamba mambo yatarekebika ikishatambulika hivyo; kumbe kuna vita kali hapa? Sasa kuna kundi la Lema na lile la Heche, yanyukane kumfurahisha Samia?

Lema alisema mambo nje ya kikao cha chama; kwa hiyo haihitaji uwepo wa malaika kumhusisha na jambo hili.
Sijui kwa nini aliamua kuwa njia hiyo ndiyo sahihi; labda unaweza kusaidia kuchangia kulieleza hili kabla hatujafika huko kwa Heche, ambaye ninahakika naye siyo malaika kama unavyokazia wewe.
Lazima kuwekana kwenye mstari, hapo nimeweka kama tahadhari tu, ili Heche nae asije kuvimba kichwa baadae apate mwanya wa kufanya ubaya kwa kujua asilimia kubwa ya wananchi wanamuamini.

Sijakosea chochote.
 
Chadema ni chama cha kifalme hadi wanachama wasioji mambo ya msingi?.

Mwenyekiti kuwa lupango siyo tiketi ya kuziba midomo wengine kuhoji mwenendo wa chama,hoja ijibiwe kwa hoja na si visingizio.
.mnakosa uadilifu kwa michango midogo itakuwaje mkishinda kuiongoza nchi.
Siasa na njaa hatma yake mbaya sana.
CCM imekwiba mali za serikali kuliko chama chochote Afrika vikiwemo viwanjo vya toka ukoloni na shule za tangu ukoloni. He tueleze hospitali ya Arusha inayojengwa kutokana na michango ya rambirambi za wanafunzi waliofariki imefikia hatua gani? CCM ni wezi wababe.
 
Lema nae ni mchumia tumbo tu..
Mie wanasiasa hasa wa bongo sina imani nao, kwa mbaaalj yule aliye jela ananishawishi, nae usishamgae akapata madaraka akatugeuka.
 
Huwa sichezi ngoma za CCM.
Nilidhani najuwa hivyo, lakini kuna kuchezeshwa bila kujuwa!

Wakati tuliomo kama taifa ni hatarishi sana; hawa wameamua lolote liwalo na liwe, kwa hiyo wameachia mbinu zote zitumike; kuua/kuteka/kupoteza/kulaghai, na kila ulijualo, ili mradi wabaki madarakani.

Hakuna wanalosita kufanya sasa hivi kwa lengo hilo moja.
Kuwagonganisha vichwa CHADEMA kwa njia yoyote ile ni faida kubwa kwao; na hakuna upungufu wa watu wa kuwatumia kufanya kazi hiyo, ikiwa ni pamoja na wanaojiamini kwamba hawawezi kunaswa na mtego wa hao waovu.
 
Back
Top Bottom