Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

Wezi wanataka kupewa nchi , Heche bado mshamba tu , anaona fahari kutembelea magari makubwa ..Washamba hawawezi kupewa nchi , yaani chama bado kinajikongoja ila mnafuja pesa kizembe . Mkurya anapiga mkwara mbuzi , halafu anatembea na bodyguards 😀 😀
Umeboronga!
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Gentleman,
Joseph Selasini Shao anakwenda kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa as soon as possible.

Lisu ni mtoro kazini kwa zaidi ya mwaka,
hakuna taarifa za kiofisi chamani kuhusu alipo na sababu za utoro kazini, na inaonekana wazi kwamba hana tena uwezo wala sifa za kuongoza chama kwa mujibu wa Katiba ya chadema na hivyo amejifuta uenyekiti wa chadema taifa automatically.

Kutokana na tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa maslahi binafsi na ya familia yake zinazo mkabili makamu mwenyewekiti wa chadema taifa,

John Heche ana kosa sifa na uhalali wa kisheria kua Makamu wa mwenyekiti wa chadema taifa na kwahivyo katibu mkuu anafaa kuitisha mkutano mkuu wa chadema taifa maramoja, kuchagua kaimu mwenyekiti na Makamu wa mwenyekiti wa chadema taifa wa mpito, mpaka pale muda wa uchaguzi rasmi wa chama utakapowadia 🐒
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Ujue nyie Chadomo ni wapumbavu sana na ndio maana hiyo saccos Hadi Leo hii inategemea mtu badala ya taasisi.

Mbona CCM wanatofautiana na wanashutumiana na mnajua ila sijawahi sikia Wana CCM wakisema huyu ni Chadema nk wanamalizanaga wao Kwa wao Kila mtu Kwa kundi lake.

Ndio maana Huwa nawaambia Wanaoitwa wafuasi wa Vyama kwamba ni mpumbavu tuu ndio ataacha shughuli zake eti akampiganie Lisu,mara Heche sijui Lema au mwanasiasa yeyote harafu yeye sio mnufaika.

Mwisho hiyo saccos itaparaganyika Kwa sababu watu wanataka wengine wawe manyumbu wa kufuata anachotaka Heche na Lisu.

Watu wenye msimamo wa wastani kama kina Lema,Mnyika,Mbowe nk huko kumewashinda na kama ishu ni pesa Je Katibu anaponaje?

Tunarudi kule kule siasa ni kazi kama kulima,kuuza duka nk kama wewe sio mnufaika utakuwa punguani kutumika.
 
Hatutafanya Maridhiano yoyote bila Medieta (Mpatanishi).
Huu ndo Msimamo wa chama.
Nchi yoyote Duniani haijawahi fanya Maridhiano bila Medieta, Yaani #Msuluhishi au mpatanishi, Eidha kutoka #Sadc, kutoka Umoja wa Africa #African_Union (AU)
🗣️Kama wanania njema, Wakubali kumwachia #Lissu na Wakubali Uchunguzi ufanyike juu ya Mauaji yaliyofanyika Oktober 29, na waliouliowa watu wachukuliwe hatua, walioagiza Mauaji wawajibishwe alafu waruhusu Medieta aje, Tusuruhishe, tutunge Sheria, tutunge KATIBA, tuanze upya.
TUINGIE KWENYE MECHI AMBAYO UWANJA UNALINGANA ALAFU ZIPIGWE DAKIKA 90, WANANCHI WAAMUE.
John Heche See less
1783661450361.jpg
 
Kwahiyo unataka Lema au mwanachama wa CDM wasihoji ubadhirifu wa fedha kisa kafanya Heche?
Hizo tabia za ki CCM zitaiua chadema.
Hakuna anayebisha shida ni kuhoji ubadhilifu wa fedha bila ya kuwa na namba(figure),fedha ni hesabu na namba Jamani....Siyo tuhuma tu za Jumla Jumla bila hata data kidogo zenye kutoa uelekeo wa ufuatiliaji wa tukio.
Hii ya kumtaka tu apishe uchunguzi wa tuhuma za kutamkwa kwa mdomo tu,ina ukakasi mno na imekaa ki oya oya sana.Ni vyema kuhoji taarifa juu ya jambo fulani kwa muhusika huku na wewe ukiwa na za kwako tofauti juu ya jambo hilohilo,ili mwisho wa siku watu wapate nafasi ya kuchanganua ni upi ukweli,siyo kwamba apishe kiti kwanza,ndiyo wewe useme uliyo nayo dhidi yake.
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Maccm mnahangaika sana na Chadema, hizi propaganda zenu mfu zilishashindwa na zitaendelea kushindwa.
 
Hatutafanya Maridhiano yoyote bila Medieta (Mpatanishi).
Huu ndo Msimamo wa chama.
Nchi yoyote Duniani haijawahi fanya Maridhiano bila Medieta, Yaani #Msuluhishi au mpatanishi, Eidha kutoka #Sadc, kutoka Umoja wa Africa #African_Union (AU)
🗣️Kama wanania njema, Wakubali kumwachia #Lissu na Wakubali Uchunguzi ufanyike juu ya Mauaji yaliyofanyika Oktober 29, na waliouliowa watu wachukuliwe hatua, walioagiza Mauaji wawajibishwe alafu waruhusu Medieta aje, Tusuruhishe, tutunge Sheria, tutunge KATIBA, tuanze upya.
TUINGIE KWENYE MECHI AMBAYO UWANJA UNALINGANA ALAFU ZIPIGWE DAKIKA 90, WANANCHI WAAMUE.
John Heche See lessView attachment 3626131
Yes na maridhiano yataongozwa na Lissu na msaidizi wake Heche. Hakuna alternative nyingine.
 
Huajiamini kabisa, umeandika kama mtoto mdogo hapa.

Hili jambo mliache liende muda utaamua litaisha vipi, kuliko mnavyoendelea kulianzishia nyuzi ambazo haziji na majibu yoyote zaidi ya kuongeza maswali yasiyo na maana.

So, kwako kwasababu Heche ni kiongozi ndio hatakiwi kuchunguzwa kama akikosea? Kwako Heche akisimamishwa kupisha uchunguzi maana yake ndio Chadema kitakosa viongozi?!

Wale wakina Mnyika, na wengine nani kakwambia hawawezi kukiendesha chama?

Msimfanye Heche ajione malaika mnakosea, anatakiwa kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake, hilo sio kosa la Lema kama ndie anamshutumu, Heche ajibu maisha yaendelee.
Amini hakuna hela iliyoliwa ni mngongano na mpishano wa mitazamo yao tu juu ya namna ya kukiendesha chama katika hali na mazingira kinayoyapitia kwa sasa.Sasa wanaogopana kuelezana ukweli,wanataka kuchagua njia ya kuviziana kwa kutengenezeana shutuma zisizo na mashiko na za kitoto mno,ili kundi moja lipate fursa ya kupitisha mtazamo wa lenyewe iwapo kundi moja litadhoofika au kuanguka kabisa.
Naamini watavuka salama tu japo maadui wa chama ni wazi wameshaingia katikati yao.
Kamati Kuu ya CHADEMA ni timu moja nzito sana na wajumbe wake wako huru kabisa kifikra,siyo kusanyiko la watu wakawaida ambao wanaweza kukurupuka tu kwenye maamuzi,nadiriki kusema wamejaliwa kila kitu vichwani mwao.Hili wimbi pia litapita salama.
 
Maridhiano inatakiwa yafanyike na watu waliouwawa,sio chadema.
Na hata kama hela za tonetone zinaliwa,wanastahili kuongezewa zaidi pia.
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Pumbavu, chadema sio ccm , chadema inasimamia haki , so kuhoji ni jambo zuri sana na sioni tatizo , unajua sio mda Chadema inachukua dola , kama ndivyo why wasikosoane pale penye mapungufu
 
Sawa, basi Heche akae pembeni kupisha uchunguzi. Mkutano mkuu uteue mwenyekiti wa muda.
 
Upuuzi tu, CHADEMA haiwezi kuteteleka kwa Propaganda na fitina uchwara hizi za akina YERIKO NYERERE wa Mbutu-Kigamboni...Halafu next weekend nitakuwa pande za Kigamboni nina mishe moja hivi...Ole wake ni kikukutana na YERIKO NYERERE..nikimkamataaaa..!!!!!
 
Kwa hiyo Heche akae pembeni kupisha uchunguzi ili mumuweke nani awe mwenyekiti?

Hivi mnajiona ninyi ni smart sana eeh?
Kwani kiongozi bora akiwa na tuhuma haswa za ubadhilifu anapaswa kufanya nini?
Hapa tunaongelea uadilifu na matokeo yake.

Punguza mahaba niue.
 
Kumshabulia Lema kwa kutoa shutuma dhidi ya matumizi mbaya ya rasilimali za chama kwenye mkutano halali wa chama ni kutomtendea haki.

Ni wajibu wa kila mwanachama kulinda na kutetea mali za chama husika na siyo cdm tu ni vyama vyote ipo hivyo.

Ingekuwa vibaya kama angetoka na kwenda kulisema nje kwenye vikao na wana habari.

Tuvute subira ili tuone nini kamati kuu itachukua hatua gani.
lema bana tulia boya wewe
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Hivi chadema wanahela zipi?
 
Back
Top Bottom