Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

Lema, lengo lako kuhusu Heche ni nini hasa?

Lazima kuwekana kwenye mstari, hapo nimeweka kama tahadhari tu, ili Heche nae asije kuvimba kichwa baadae apate mwanya wa kufanya ubaya kwa kujua asilimia kubwa ya wananchi wanamuamini.

Sijakosea chochote.
Hakika "hujakosea chochote" kwa kuunga juhudi za kuwavuruga CHADEMA zinazofanywa na waovu wa CCM!
Naamini wewe hulioni hivyo.
 
Hakika "hujakosea chochote" kwa kuunga juhudi za kuwavuruga CHADEMA zinazofanywa na waovu wa CCM!
Naamini wewe hulioni hivyo.
Mtazamo wako huu.

Kusema Heche achukuliwe kwa tahadhari asije kuvimba kichwa sio kuwaunga mkono wasiotakia mema Chadema.

Mmetawaliwa na uoga, mkiona mtu anaandika msichokielewa pressure inawapanda, i know what i'm writting, mmeshazoea wote tuimbe wimbo mmoja miaka yote ili tufanane kama maembe.
 
Of course "'tumetawaliwa na uoga"; wewe usiyeogopa Tanzania inakopelekwa, au kuuliwa kama mende,' adenture' zako za kucheza na hao wanaovuruga matumaini ya kutuondolea uoga huo tukuite jasiri?

Unashiriki katika juhudi za kuvuruga tunachojenga kuondoa uoga, halafu unataka tukusifu kwa kufanya hivyo?
 
"Nashiriki katika juhudi za kuvuruga" sababu nimeandika nachukua tahadhari, shida yako unataka niandike unachopenda kukisoma, siku ukitoka kwenye hilo shimo ndio utanielewa.

Am off.
 
"Nashiriki katika juhudi za kuvuruga" sababu nimeandika nachukua tahadhari, shida yako unataka niandike unachopenda kukisoma, siku ukitoka kwenye hilo shimo ndio utanielewa.

Am off.
Sasa wewe unafanya nini hapa, kama hupendi mimi nikubali unachoandika wewe?

Tokea mwanzo wa swala hili la Lema, umeonyesha dhahiri kutetea upande wake hata kabla hujaridhika na yaliyokuwa hayajafunuliwa. Yamefunuliwa, bado unaendelea kukaza fuvu. Sasa unataka tuelewe nini kwa msimamo wako huo, kama siyo sehemu ya kuvuruga jitihada za wanaokataa uovu.
 
IMG_2261.jpeg
 
Kwahy lema nae kahongwa?

Chadema bhana, mambo n mengi 😂
 
Siri za kikao Cha ndani unaziletaje huku kama sio unafiki

Ni kama unaitetea chadema lakini between the line una agenda ya Siri ya kugawanya

Jihadharini na wanafiki
Najua umetaamaki kuona Lema ndio mastermind wa huu mchezo mchafu, lakini ndio wanasiasa haswa wa kaskazini walivyo don't ever trust them.
 
Kwenye kikao unasimama na kuhoji usalama wa fedha za chama kisha unamnyooshea kidole moja kwa moja Heche kuwa anapiga pesa za chama.

Kwa kifupi ni kwamba huna imani na Heche. Baadae unapata uungwaji mkono kutoka kwa wenzio, yani kama script iliyokuwa imeandaliwa tayari.

Okay sawa, uhenda nia yako ni njema unataka uwajibikaji.

Kilichotushtua wengi ni kwamba, endapo unataka Heche ajiweke pembeni kwa ajili ya uchunguzi, unatarajia chama kiongozwe na nani wakati tayari mwenyekiti yupo jela?

Je, lengo ni kutoa nafasi kwa uchunguzi huru, kuleta mtu wa kusukuma maridhiano au kuna agenda nyingine ambayo hamjaiweka wazi?

Tangu ulipo-tweet kumkaribisha Nchimbi kujiunga na CHADEMA, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu msimamo na mwenendo wako wa kisiasa.

Guys najua ni jambo la kuvunja moyo ila ukweli Lema ndio anaendesha mashambulizi dhidi ya Heche na kwenye kikao cha kamati yeye ndio alianzisha huu mjadala wa kutokuwa na imani na Heche. Hii nime-confirm ndio maana nimeona niliweke hapa mlijue.
Umeleta hoja ya Uongo...

Umejipanga huko kuja kuleta fujo humu ndani..

Mmeona wananchi wanaichangia CHADEMA ..mnatafuta namna ya kuchafua...
Tafuteni mbinu nyingine
 
Back
Top Bottom