Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
Ndiyo maana yake kwani Pesa yote ya Kampeni alipewa na mbowe baada ya kumfurahisha kwa kazi aliyomtuma.
.....ezali wapi ??
Ndiyo maana yake kwani Pesa yote ya Kampeni alipewa na mbowe baada ya kumfurahisha kwa kazi aliyomtuma.
Tena siku hizi tumewaruhusu watumie mpaka za moto kazi kwao polisi washindwe wenyewe.
Mkuu utakumbuka hata JWTZ malalamiko yaliyo tokea baada ya JK kumpadisha swahiba wake Lut. Gen. Ndomba vyeo kwa kasi! Lazima ziwepo sheria na taratibu zitakazo waongoza ma Rais wakati wanateua wakuu wa vyombo vya sheria,uchunguzi,ulinzi na usalama badala ya kutumia vigezo vya mitandao na ukada!
Matukio ya kuvamiwa kwa vituo vya polisi hayajaanza sasa wakati wa Ernest Mangu. Nilichobaini kwenye maelezo ya Lema ni kutaka kuwagombanisha IGP Mangu na Mkuu wa Operesheni Chagonja kwa vile ameona kwa sasa Jeshi la Polisi ni moja. Lema ana uzoefu kutokana na kazi yake ya Ujambazi kwamba kunapokuwa na mpasuko ndani ya jeshi la polisi inakuwa ni wahalifu kujipenyeza[/QUOt
Kwani Lema alikuwa jambazi na kama ni jambazi mbona walishindwa kumkamata acheni mambo yenu
Mpumbavu km wewe huwezi pata mawazo ya msingi aliyoyasema Lema.Chagonja km maCCM mengine huwa yanafanya vitu yakiwania au kufikiria namna ya kupata upendeleo.Mauaji ya Chagonja kuanzia upinzani na wengine wanaoitwa majambazi etc ni stunts za Police kupandishwa vyeo.Chagonja roho inamuuma kwa vile alifanya kazi mbaya kwa moyo akidhani ingemfikisha ktk nafasi ya juu kw akupendelewa.Sasa kapigwa bao na mwingine.Hasira na mazoea ya mauaji hayampi tena fikra.Matukio ya kuvamiwa kwa vituo vya polisi hayajaanza sasa wakati wa Ernest Mangu. Nilichobaini kwenye maelezo ya Lema ni kutaka kuwagombanisha IGP Mangu na Mkuu wa Operesheni Chagonja kwa vile ameona kwa sasa Jeshi la Polisi ni moja. Lema ana uzoefu kutokana na kazi yake ya Ujambazi kwamba kunapokuwa na mpasuko ndani ya jeshi la polisi inakuwa ni wahalifu kujipenyeza
Polisi ndipo wajue sasa kuwa ukilea ujambazi,mwanzo utaona ni sehemu ya utawala ila siku zinapokwenda unakuwa umewakaribisha ndani zaidi na hivyo wakiingia phace ingine wewe ndio utakuwa karibu na available kuliko.Hata wazazi wanaofurahi mwanao akiwaibia na kuwadhalilisha wengine,anajiandalia kipindi cha kukumbana na hayo mtoto wake anavyojikuta hana kwingine salama pa kufanya aliyozoe kufanya.Ndio maana wapo wazazi watoto wao wanawabaka,wapiga, waibia kila kitu ...na wote walikuwa majambazi hatari kwa wengine.Ila baada ya kukuta ugumu na hatari ya kuuwawa na dunia..basia anarudia wana familia kwa vile anajua ndipo salama na uwezo ulipoishia.Kasema hata waziri Chikawe na viongozi wengine wa jeshi la Polisi wanajua na Chikawe hajakanusha kwa hiyo ni ukweli. Hii ni hatari, kamanda wa Polisi anaandaa mauaji ya Polisi wenzake na wizi wa silaha ili IGP aonekane mbovu apewe yeye kwa vile nafasi hiyo aliitamani toka awali na akaikosa? Kweli ukianza kula nyama ya mtu hutaacha maana ukikosa mtaani utakula wanao. Hii ni hatari sana.
Sijahona tatizo lolote hapo
Hao jamaa wanapataga the kick out of kumsema vibaya rais au viongozi mbalimbali,as long as wanajua wamo bungeni na wanakinga ya kutoshitakiwa,watasema lolote lile na mbumbumbu watawasifia sana kama wamesema kitu very intelligent,wakati kiuhalisia ni mropoko.
LAKINI KWA KUONGEZEA ...KUNA JAMBO MOJA ...KWA MIAKA KARIBU 30 KABLA YA MWAKA 1985 ...AMBAKO WAKUU WALIKUWA ENZI YA KINA SOLOMON LIANI ,LEMOMO ,MGAYA ETC
BAADA YA HAPO NI ZAIDI YA MIAKA 30 IGP HAJAWAHI KUTOKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI ......IGP's WOTE WAMEKUWA WAKITOKEA MIKOANI NA KURUSHWA VYEO HASA CHEO CHA KAMISHNA NA KUWA IGP....
HII INA MAANA HAWA MAKAMISHNA WA POLISI WASINUNE SANA WAKUBALIANE TU NA HALI HALISI ...KAMA IGP ANGETOKA MIONGONI MWA MAKAMISHNA BASI ANGEKUWA AMEVUNJA REKODI ...
Ongera ndio kitu gani?asee,kumbe,ongera sana kwa kunielewesha
Sijuti kuikataa mimba iliyokuleta duniani kwani mamako alikuwa mwingi mno!Hata mimi nadhani lema amepata information toka kwa washirika wake wa zamani. jambazi:''chalii angu lema,wewe uliamua kustaafu na kuacha machalii tunaendeleza,vipi huko siasani''. lema:''ha ha ha ha,tupo tunapiga posho kiulaini,ila ninamisi kashkash zetu''. jambazi:''wewe si umekimbilia kazi laini laini mtu wangu,siku hizi tunapiga deal kubwa kubwa ,unakumbuka ishu ya ikwilili?'' lema_anageuka na kuita,''muhudumu ongeza kitimoto kilo tatu na mzinga wa john mtembezi'', baada ya kutoa oda kwa mhudumu anamgeukia mwenzake,''eehe,masawe,unasema ishu gani ya ikwilii?''. jambazi:''ama chalii angu lema hujui hata ishu zinavyoenda siku hizi,ni hivi.....''
Umekosea mkuu,kabla ya kuwa IGP,Mwema alikuwa RPC wa Mbeya,amepata pia kuwa RPC wa Mwanza!Bw. Philemon naona ni vizuri tukielimishana ktk hili, RPC ni WADHIFA TUU na COMMISSIONER NI CHEO. Sasa unaweza kuwa RPC ukiwa na cheo cha COMMISSIONER. Hivyo Mangu alikuwa katika Cheo cha COMMISSIONER akiwa level moja na akina Chagonja. Pili, Kama sijakosea, IGP pekee ambaye hakuwa RPC tangu uhuru alikuwa Said Mwema
Niende kwenye Mahakama ya wapi? au ni Mahakama ya huko Gheto kwako wewe Punguani? Nimeshakwambia kuwa Mahakama za Tz mbele ya mbowe huna Haki kwa nini hutaki kuelewa? Huo utahila wako utaisha lini?
Lema alikwenda kumuua chacha akiwa ni Jambazi aliyepewa Tenda tu na Mnyika ambaye alipewa jukumu na Mbowe, kwa faida yako Lema na Mbowe ni ndugu wa DNA kama ilivyo kwa Mnyika na mdee hao wote ni ndugu moja.huu Si Uongo Amini usiamini Huyo ndiyo Lema na vitendo vyake kabla ya kuwa Mbunge vilikuwa ni vya kutisha sana. R.I.P chacha wangwe.
Rushwa ni Adui wa Haki . RIP chacha wangwe.Kwanini hawakumkamata sasa kama waliyajua yote hayo!? Ilikuwaje ashinde Ubunge Arusha tena mjini kirahisi namna hiyo!? Uchafu unaofanywa karibu na wabunge na viongozi wote wa CCM na Upinzani ni mkubwa sana, kama kuharibu dada zetu pale Dodoma! Rejea kashfa ya Dodoma Sec! Huo ujinga unaendelea hadi leo na ni kwa viongozi karibu wote, hautakaa uishe, wakija mbele ya media wanajifanya wanatetea wanyonge! Uwizi mtupu!