Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Uongo ni kwako peke yako tu wengine wanajua ni Ukweli nenda hapo machame kawaulize vizuri watakuelezea Ukoo wao umeungania wapi utapata picha kamili.

Acha utahira.. Mmoja wa hao unaowasema ni ndugu yangu. Licha ya undugu unaousemea hizo koo zao hata kuoleana hawajaoleana..
 
Uongo ni kwako peke yako tu wengine wanajua ni Ukweli nenda hapo machame kawaulize vizuri watakuelezea Ukoo wao umeungania wapi utapata picha kamili.

Lema ana undugu (Mjomba) wa aliyekua Mwenyekiti wa wilaya wa CCM marehemu mzee kileo
 
Acha kuishushaJF hadhi ,

Matusi mengi point hakuna, debe tupu..........!

Point ipi unataka? Lete point Zako ujibiwe JF haishuki Hadhi kwa fikra zako wala mtizamo wako pekee ! Kisa watu wamempa Makavu live Baba yako Lema umepagawa!
 
changoja anamuharibia mangu kwa wananchi ..hapendi kuona mangu akifanikiwa.changoja ni hatari mpangaji wa matukio hatari embu ona alivyo waamuru kuwapiga akina mama kwa spana za malori.ccm mnatuulia mama zetu mnawapiga na spana mlaaniwe.

Haya mambo ni magumu sana kwa mtu was nje
 
Naludia tena na tena Lema alipewa Tenda ya kumua chacha pasipo kujua itikadi yake kumbuka kipindi Hicho Lema alikuwa Jambazi, wanachama wa TLP na huko Botswana unajua wewe , lakini tunachokifahamu alimuua akapewa chake kisha baadae Boss wake Mbowe akamzawadia Ubunge.

"Narudia tena " sio 'naludia ' Kea namna hii Kiswahili kitapotea!
 
Acha utahira.. Mmoja wa hao unaowasema ni ndugu yangu. Licha ya undugu unaousemea hizo koo zao hata kuoleana hawajaoleana..
Utahira unao wewe uliyepewa Rushwa na lema upindishe Ukoo na kuchakachua sasa unaleta ukoo feki.
 
Bw. Philemon naona ni vizuri tukielimishana ktk hili, RPC ni WADHIFA TUU na COMMISSIONER NI CHEO. Sasa unaweza kuwa RPC ukiwa na cheo cha COMMISSIONER. Hivyo Mangu alikuwa katika Cheo cha COMMISSIONER akiwa level moja na akina Chagonja. Pili, Kama sijakosea, IGP pekee ambaye hakuwa RPC tangu uhuru alikuwa Said Mwema


Hapana Mangu alikuwa ACP Mangu ...assistant commissioner.....

RPC pekee ambaye ni KAMISHNA ni Kova

IGP wote kuanzia Haroun mahundi ...Omar MAHITa ...Saidi mwema ...Mangu ...hawakutaka miongoni mwa commissioners or ACP wa Makao Makuu ..check your records properly
 
Point ipi unataka? Lete point Zako ujibiwe JF haishuki Hadhi kwa fikra zako wala mtizamo wako pekee ! Kisa watu wamempa Makavu live Baba yako Lema umepagawa!

Angalia jinsi unatoa matusi na lugha za ajabu unadhani siyo kuishusha Jf hadhi?

Ukimaliza ligi usisahau kitimoto chako kinapoa
 
Kumbe umeshajua kuwa anauzoefu na jeshi la polisi, sasa unapinga nini taarifa yake na kujifanya wewe ndio unajua sana.

Lema ni jambazi, kuna siku alishawahi kuhutubia mahala bila kuwasema vibaya polisi? Lazima katika hotuba zake zote aponde polisi kwani wanamjua tangu akiiba magari na mpaka sasa anacordinate haya matukio ya uvamizi. Ni vizuri akamatwe afanyiwe interogation ili aseme vizuri anachokifahamu.
 
Angalia jinsi unatoa matusi na lugha za ajabu unadhani siyo kuishusha Jf hadhi?

Ukimaliza ligi usisahau kitimoto chako kinapoa

Mie sitoi Lugha ya Ajabu wala matusi bali huwajibu kile walichokielekeza kwangu, ukija na Lugha Nzuri tunaenda vizuri na ukinikalia Vibaya na mie nakukalia Vibaya, dawa ya Moto ni moto, JF haishuki Hadhi kisa Lema na wapambe wake wamepewa Ukweli, Hadhi ya JF haipimwi kwa Upeo wako wala mtizamo wako pekee. RIP chacha wangwe.
 
Lema ni jambazi, kuna siku alishawahi kuhutubia mahala bila kuwasema vibaya polisi? Lazima katika hotuba zake zote aponde polisi kwani wanamjua tangu akiiba magari na mpaka sasa anacordinate haya matukio ya uvamizi. Ni vizuri akamatwe afanyiwe interogation ili aseme vizuri anachokifahamu.

Siku zote Watu wahalifu huwa busy kuwachunguza Polisi kwa hali huwafuatilia nyendo zao vyeo vyao mpaka maisha yao binafsi. Lakini Raia wema hawana mda wa kuwachunguza polisi wao wanachotaka ni usalama wao na mali zao. Lema ni Jambazi ndiyo maana huwa busy kuwachunguza polisi na kubuni mbinu za kuwachonganisha makamanda wake.
 
shida kubwa ya watanzania ni kutopambanua jambo na hasa serikali yetu hii kauli ya lema ni nzito sana inatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa kina ajabu mpaka leo hakuna reaction yoyote toka serikalini kuhusu hili so sisi watanzania tutaamini kauli ya lema mpaka tutapopata
 
shida kubwa ya watanzania ni kutopambanua jambo na hasa serikali yetu hii kauli ya lema ni nzito sana inatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa kina ajabu mpaka leo hakuna reaction yoyote toka serikalini kuhusu hili so sisi watanzania tutaamini kauli ya lema mpaka tutakapopata majibu sahihi
 
Mie natoka naenda kanisani nitaludi baadae wakati frem120 na wenzake watakuwa wameludi toka kwa waganga wa kienyeji.
 
Mara nyingi wabunge huwa wanapewa habari toka sehemu husika ili wakaseme bungeni. Sasa hizi habari za Lema usizipuuze,inawezekana hao polisi wa vyeo vya chini ndiyo wanajua mchezo mzima wa Changoja ila sasa wanakosa pa kusemea na wakaamua njia pekee ni kumpa mbunge akailipue ishu bungeni. Kwahiyo lisemwalo lipo vuta subira huko mbele ukweli utakuja julikana.

That's how it is. Well said mkuu!
 
nipo kwenye mchakato ili nikufahamu nikuone tu hata kwa sura ili nijaribu kuoanisha ulivyo na mawazo yako kama nlivyo fanya kwa wenzio baadhi ambao hadi imewabidi wabadili ID zao.soon kiongozi!
Amini usiamini huyu bwana ni Mbunge. Kama wabunge tulio nao ndo hawa unategemea maendeleo Tanzania?!!
 
Hao jamaa wanapataga the kick out of kumsema vibaya rais au viongozi mbalimbali,as long as wanajua wamo bungeni na wanakinga ya kutoshitakiwa,watasema lolote lile na mbumbumbu watawasifia sana kama wamesema kitu very intelligent,wakati kiuhalisia ni mropoko.

mbona Waziri hakuomba mwongozo mkuu au spika hakumtaka afute kauli yake au athibitishe, kwani waziri alietajwa alikuwemo bungeni.
 
Mbona hamumkamati, Wakati mna jeshi ,usalama wa taifa ,polisi , magereza , jeshi la kujenga uchumi, JKT , kmkm , UVCCM , chipukizi na mgambo?!!!

Rushwa ni Adui wa Haki .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom