Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Mwenye Akili ndogo kama wewe ndiye ataamini hii ni Hadith lakini wajanja wote wanajua Lema ndiye alimuua chacha wangwe kuna kipindi alijaribu kumuua Zito lakini zito akamshitukia na kumwonya mapema akaogopa. Ni History ipi unajua? Wewe ndiye utatunga History lakini ukweli ndiyo huu, Najua inakuuma maana ni kama umevuliwa nguo sasa huna na kujificha, hata Uongee nini hutakaa uwabadilishe watu juu ya Lema kuhusika na kifo cha chacha wangwe.

Nenda mahakamani weee taila, muuaji si Lema keleleza za nini humu.....

Points with no facts.
 
Mahakama ya wapi ? Ya Tanzania au Mahakamani ya uhalifu wa kimataifa? Ebu jiulize kama Mbowe na Mnyika waliweza kutembeza Rushwa tume yote mpaka mashuhuda wa pale kijijni watashindwa vipi kumpoza Hakimu mmoja tu.Rushwa ni Adui wa Haki.

Una miaka mingapi? samahani lakini...
 
Unarukaruka tuuuuuu, na bado mara jambazi tena, wakat miaka hio alikuwa Botswana anasoma nani mwanachama wa Tlp.

Naludia tena na tena Lema alipewa Tenda ya kumua chacha pasipo kujua itikadi yake kumbuka kipindi Hicho Lema alikuwa Jambazi, wanachama wa TLP na huko Botswana unajua wewe , lakini tunachokifahamu alimuua akapewa chake kisha baadae Boss wake Mbowe akamzawadia Ubunge.
 
Nenda mahakamani weee taila, muuaji si Lema keleleza za nini humu.....

Points with no facts.

Niende kwenye Mahakama ya wapi? au ni Mahakama ya huko Gheto kwako wewe Punguani? Nimeshakwambia kuwa Mahakama za Tz mbele ya mbowe huna Haki kwa nini hutaki kuelewa? Huo utahila wako utaisha lini?
 
Naludia tena na tena Lema alipewa Tenda ya kumua chacha pasipo kujua itikadi yake kumbuka kipindi Hicho Lema alikuwa Jambazi, wanachama wa TLP na huko Botswana unajua wewe , lakini tunachokifahamu alimuua akapewa chake kisha baadae Boss wake Mbowe akamzawadia Ubunge.

.....wewe viti maalum ?
 
Hizi ni siasa za maji taka kama Lema alikuwa jambazi mkashindwa kumkatamata basi nyie ni wapumbavulakini sisi tunajua majambazi na wauza unga wengi ni makada wa ccm.

mkuu umesahau kutaja na ujangili wa pembe za ndovu.
 
Lema ajitaidi sana kujilinda yeye na familia yake maana........ Chagonja sio Kiumbe kizuri!
 
Wewe Frema120 hata utukane hata ufanyeje hata Ushinde kwa Waganga wa kienyeji kama Lema hutakaa Ufute hii Dhambi ya kumuua Chacha wangwe, wewe bwabwaja uwezavyo lakini hutakaa uwabadilishe watu juu ya mtizamo wao. R.I.P chacha wangwe.
 
....kesho utakuwa waziri ...jitahidi
 
sasa wewe maneno hayo yamesemwa jana wewe huo utafiti kuwa hayana ukweli umefanya lini? Na kusema umebaini kuwa sasa jeshi la polisi ni moja huo ni uongo uliokithiri, sasa hivi ndani ya jeshi hilo kuna mpasuko wa ajabu kabisa. Ungekuwa na uwezo wa kuzungumza na kamanda kaniki naibu igp angekueleza nini kinaendelea. Na usione yuko kimya sana ni kuwa ana kazi maalumu ya kujaribu kuweka mambo sawa.
Wakati mwingine lizaboni upunguze ushabiki, jambo kama hili la askari wetu kushambuliwa na kufa vituoni sio la kisiasa kiasi cha kuleta kejeli bali ungesisitiza lema avisaidie vyombo husika kutoa ukweli ili kukomesha mauaji hayo ya askari hao (ambao ni ndugu zetu wote) na hizo silaha zinazotapakaa mitaani.

umenena vema
 
Last edited by a moderator:
Nikweli kabisa mkuu nakumbuka enzi zile Lema alipokuwa anafanya kazi ya ujambazi alikuwa anashirikiana na mumeo
Kwani ujambazi wa Lema kunamtu asiyejua mbona kila mtu Aerusha anafahamu kuwa mshikaji jambazi.
 
naludia tena na tena lema alipewa tenda ya kumua chacha pasipo kujua itikadi yake kumbuka kipindi hicho lema alikuwa jambazi, wanachama wa tlp na huko botswana unajua wewe , lakini tunachokifahamu alimuua akapewa chake kisha baadae boss wake mbowe akamzawadia ubunge.

hapa sasa ndiyo nimekuona kuwa we ni ----- la hatari!
Eti mbowe akamzawadia ubunge!!!!!!!!!!!!
 
hapa sasa ndiyo nimekuona kuwa we ni ----- la hatari!
Eti mbowe akamzawadia ubunge!!!!!!!!!!!!

Ndiyo maana yake kwani Pesa yote ya Kampeni alipewa na mbowe baada ya kumfurahisha kwa kazi aliyomtuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom