nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,253
Nimeishi na wapare weeeengi sana sijaona hata mmoja mkatili, sijui huyu katoa wapi tabia hii.
amefanya mauaji mengi kwa ahadi ya u-IGP,kikwete haaminiki,kamtosa!sasa hivi anaua askari wenzake kwa hasira ya kutopewa cheo cha juu kabisa.