Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Wakuu salamaa?

Jana nimemsikikiza mh. Lema, akieleza juu ya sintofahamu ya kuvamiwa vituo vya police, kupigwa na kuporwa bunduki n.k

Kwa mshangao mkubwa akasema, Kamanda Changoja haamini kama rais kaishafanya uteuzi wa IGP na sasa anafanya sabotage to a new IGP ili aonekane anamapungufu kwa kuratibu matukio mbalimbali n.k

Ni kauli nzito sana, na matukio sasa ya aina hii ni mengi sana, tujadili pamoja kwa undani kama kuna kiukweli vile.

Mungu nibariki nifike December tu.

Kwa maoni yangu njia bora ni kutafuta audience na mtoa hoja; Mh. G J Lema ili atupe undani wa tamko lake; tunaweza kujadiliana lakini kimsingi tutakuwa tunajadiliana mitazamo na maoni yetu kuhusu swala husika; na kwa tabia ya baadhi ya wanaJF; mjadala huo utakwenda alijojo baada ya muda mfupi sana kwa watu kuanza kurushiana vijembe na mitusi na kujadili kwa misimamo ya vyama vyao nk nk; jambo ambalo halina tija hata kidogo!!

KYT: Baadhi yetu tunalifanyia kazi tayari; na itakapobidi tuta-share hicho tutakachokipata hapa jamvini; watch this space!!
 
Nikweli kabisa mkuu nakumbuka enzi zile Lema alipokuwa anafanya kazi ya ujambazi alikuwa anashirikiana na mumeo

Bahati nzuri Mh. Lema kaacha ujambazi ila mme wa jamaa bado anaendelea. Hatareee tupu!
 
Lema asinge weza kumsingizia mtu kama Chagonja kitu ambacho sicho.
Hata mimi nadhani lema amepata information toka kwa washirika wake wa zamani.
jambazi:''chalii angu lema,wewe uliamua kustaafu na kuacha machalii tunaendeleza,vipi huko siasani''.

lema:''ha ha ha ha,tupo tunapiga posho kiulaini,ila ninamisi kashkash zetu''.

jambazi:''wewe si umekimbilia kazi laini laini mtu wangu,siku hizi tunapiga deal kubwa kubwa ,unakumbuka ishu ya ikwilili?''
lema_anageuka na kuita,''muhudumu ongeza kitimoto kilo tatu na mzinga wa john mtembezi'',
baada ya kutoa oda kwa mhudumu anamgeukia mwenzake,''eehe,masawe,unasema ishu gani ya ikwilii?''.

jambazi:''ama chalii angu lema hujui hata ishu zinavyoenda siku hizi,ni hivi.....''
 
Matukio ya kuvamiwa kwa vituo vya polisi hayajaanza sasa wakati wa Ernest Mangu. Nilichobaini kwenye maelezo ya Lema ni kutaka kuwagombanisha IGP Mangu na Mkuu wa Operesheni Chagonja kwa vile ameona kwa sasa Jeshi la Polisi ni moja. Lema ana uzoefu kutokana na kazi yake ya Ujambazi kwamba kunapokuwa na mpasuko ndani ya jeshi la polisi inakuwa ni wahalifu kujipenyeza

Mtu kama weweni mmoja kati ya wale waliokuwa wanatumika na Eugene Alexander de Kock kule Afrika Kusini, enzi za utawala wa kiimla uliopoteza mamia ya wazalendo na wanaharakati enzi hizo! De Kock hakuratibu mauaji yale peke yake bali alishirikiana na weusi wachache ambao walikuwa wameamua kuwa-sabotage wenzao kwa maslahi yao wakati huo! Kwahiyo sikushangai unapokuja hapa kutumia nguvu kubwa kutupotosha! But nilimsikia na kumtazama Lema live kupitia Star Tv akitamka neno kwa neno na sentesi kwa sentesi! Hivyo endelea kufanya kile unachokitaka wewe lakini daima ukweli utasimama!
 
Lema hana point kabisa badala yake anaanza kuwakujeli waliokuwa wanambania alipokuwa anafanya kazi yake ya zamani.
 
Hata mimi nadhani lema amepata information toka kwa washirika wake wa zamani.
jambazi:''chalii angu lema,wewe uliamua kustaafu na kuacha machalii tunaendeleza,vipi huko siasani''.

lema:''ha ha ha ha,tupo tunapiga posho kiulaini,ila ninamisi kashkash zetu''.

jambazi:''wewe si umekimbilia kazi laini laini mtu wangu,siku hizi tunapiga deal kubwa kubwa ,unakumbuka ishu ya ikwilili?''
lema_anageuka na kuita,''muhudumu ongeza kitimoto kilo tatu na mzinga wa john mtembezi'',
baada ya kutoa oda kwa mhudumu anamgeukia mwenzake,''eehe,masawe,unasema ishu gani ya ikwilii?''.

jambazi:''ama chalii angu lema hujui hata ishu zinavyoenda siku hizi,ni hivi.....''

Pathetic "kiazi"
 
Matukio ya kuvamiwa kwa vituo vya polisi hayajaanza sasa wakati wa Ernest Mangu. Nilichobaini kwenye maelezo ya Lema ni kutaka kuwagombanisha IGP Mangu na Mkuu wa Operesheni Chagonja kwa vile ameona kwa sasa Jeshi la Polisi ni moja. Lema ana uzoefu kutokana na kazi yake ya Ujambazi kwamba kunapokuwa na mpasuko ndani ya jeshi la polisi inakuwa ni wahalifu kujipenyeza

Mbona chikawe hajakanusha au chagonja ...au mangu smtm unakiherehere u pretend to know much
 
Sasa wewe maneno hayo yamesemwa jana wewe huo utafiti kuwa hayana ukweli umefanya lini? Na kusema umebaini kuwa sasa jeshi la polisi ni moja huo ni uongo uliokithiri, sasa hivi ndani ya jeshi hilo kuna mpasuko wa ajabu kabisa. Ungekuwa na uwezo wa kuzungumza na Kamanda Kaniki naibu IGP angekueleza nini kinaendelea. Na usione yuko kimya sana ni kuwa ana kazi maalumu ya kujaribu kuweka mambo sawa.
Wakati mwingine Lizaboni upunguze ushabiki, jambo kama hili la askari wetu kushambuliwa na kufa vituoni sio la kisiasa kiasi cha kuleta kejeli bali ungesisitiza Lema avisaidie vyombo husika kutoa ukweli ili kukomesha mauaji hayo ya askari hao (ambao ni ndugu zetu wote) na hizo silaha zinazotapakaa mitaani.

Well said! isipokuwa ushauri huu kwa Lizaboni ni sawa na kumpigia muziki mbuzi
 
Matukio ya kuvamiwa kwa vituo vya polisi hayajaanza sasa wakati wa Ernest Mangu. Nilichobaini kwenye maelezo ya Lema ni kutaka kuwagombanisha IGP Mangu na Mkuu wa Operesheni Chagonja kwa vile ameona kwa sasa Jeshi la Polisi ni moja. Lema ana uzoefu kutokana na kazi yake ya Ujambazi kwamba kunapokuwa na mpasuko ndani ya jeshi la polisi inakuwa ni wahalifu kujipenyeza
IGP mstaafu Said Mwema alikuwa Mchaga mwenzake na alimlinda sana juu ya repot ya Tume juu ya Kifo cha Chacha wangwe. Asimchezee Mangu anaweza kuanzisha uchunguzi wa kifo cha chacha Wangwe Upya na Lema akaishia kufungwa milele .
 
Kasema hata waziri Chikawe na viongozi wengine wa jeshi la Polisi wanajua na Chikawe hajakanusha kwa hiyo ni ukweli. Hii ni hatari, kamanda wa Polisi anaandaa mauaji ya Polisi wenzake na wizi wa silaha ili IGP aonekane mbovu apewe yeye kwa vile nafasi hiyo aliitamani toka awali na akaikosa?
Kweli ukianza kula nyama ya mtu hutaacha maana ukikosa mtaani utakula wanao. Hii ni hatari sana.

Hii Sinema imetengenezwa na Lema tu ili apate Kiki na IGP amwogope lakini ukichuguza kwa Undani ni Uchonganishi tu ili kuwafanya washindwe kufanya kazi kwa pamoja. Lema ndiye alimpiga Risasi chacha wangwe kisha akatokomea akiwa na kileo na kumwacha Deus Mallya akiwahadaa watanzania kuwa ilikuwa Ajali , lakini Hao hao Polisi walimlinda hadi leo Sasa kaanza kuwachokonoa lazima watamtengenezea Sinema Kali Sisi yetu macho na masikio tu.
 
Hata mimi nadhani lema amepata information toka kwa washirika wake wa zamani.
jambazi:''chalii angu lema,wewe uliamua kustaafu na kuacha machalii tunaendeleza,vipi huko siasani''.

lema:''ha ha ha ha,tupo tunapiga posho kiulaini,ila ninamisi kashkash zetu''.

jambazi:''wewe si umekimbilia kazi laini laini mtu wangu,siku hizi tunapiga deal kubwa kubwa ,unakumbuka ishu ya ikwilili?''
lema_anageuka na kuita,''muhudumu ongeza kitimoto kilo tatu na mzinga wa john mtembezi'',
baada ya kutoa oda kwa mhudumu anamgeukia mwenzake,''eehe,masawe,unasema ishu gani ya ikwilii?''.

jambazi:''ama chalii angu lema hujui hata ishu zinavyoenda siku hizi,ni hivi.....''

R.I.P chacha wangwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom