Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 7,925
- 8,644
KAMA KAMISHNA CHAGONJA ANALALAMIKA NI HAKI KWAKUWA AMEKUWA KAMISHNA KWA ZAIDI YA MIAKA 10 SASA ...UMAWEZEKANA LIlitokea kosa ALIPANDISHWA CHEO AKIWA NA UMRI MDOGO WAKATI MWEMA ANAINGIA .....ILA MAKAMISHNA KARIBU WOTE PAKE WAMEKMKUTA ...ALIOKUWA NAO WENGIE KAMA DCI MANUMBA ,DCI MNGALU WAMESHASTAAFU ....
HAWA WALIOINGIA MANGU NA KANIKI ALIKUWA KAWAPITA KWA MBALI SANA HATA MANGU ALIKUWA HAJAWA RPC ...WAKATI TAYARI CHAGONJA NI KAMISHNA ..IT'S A MATTER OF PRINCIPLE KUWA ILITAKIWA LAZIMA CHAGONJA APANGIWE KAZI NYINGINE ...
NDIO MAANA KIJESHI KUNA VYEO HUWEZI KUPEWA KAMA HUJAFIKA UMRI FULANI ...KWA KUWA HUTAKIWI UKAE NA CHEO KIMOJA KWA ZAIDI YA KIPINDI FULANI IE MIAKA 10 ... ..Sasa Kama CHAGONJA Wakati anapata ukamishna alikuwa na miaka 45 ....ni kosa ....at least mtu anaweza kupata ukamishna na miaka 48 ...hasa wale wanaoandaliwa kuwa IGP ..ili at least awe IGP akiwa na miaka 54 ...atumike miaka 6 ...astaafu ..
ukienda jeshini huwezi kupata brigadier general mwenye chini ya miaka 45 ...
Uwezo wake kikazi ukoje huyo Chagonja? Labda anafikiria mechanically