Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Ukimpumbaza mpumbavu unakuwa mpumbavu wahedi, jadilini hoja acha matusi na mvutano wa itikadi
 
Hii mipolisi ya ccm nadhani hata uchawi inatumia , nakushukuru Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , maana kwa namna yoyote ile ningekuwa IGP tu halafu ningeishia kulogwa tu .
 
Wakuu salamaa?

Jana nimemsikikiza mh. Lema, akieleza juu ya sintofahamu ya kuvamiwa vituo vya police, kupigwa na kuporwa bunduki n.k

Kwa mshangao mkubwa akasema, Kamanda Changoja haamini kama rais kaishafanya uteuzi wa IGP na sasa anafanya sabotage to a new IGP ili aonekane anamapungufu kwa kuratibu matukio mbalimbali n.k

Ni kauli nzito sana, na matukio sasa ya aina hii ni mengi sana, tujadili pamoja kwa undani kama kuna kiukweli vile.

Mungu nibariki nifike December tu.

Eee bhana mkuu unajua Mungu anatoa kwa kadri unavyoomba , hebu rekebisha hilo ombi lako la kufika december mjomba .
 
IGP mstaafu Said Mwema alikuwa Mchaga mwenzake na alimlinda sana juu ya repot ya Tume juu ya Kifo cha Chacha wangwe. Asimchezee Mangu anaweza kuanzisha uchunguzi wa kifo cha chacha Wangwe Upya na Lema akaishia kufungwa milele .

Kumbe IGP chini ya CCM anaweza kumlinda mtu dhidi ya report ya kifo kwa vile ni kabila lake? Hapo nadhani umechapia.
 
Lema hapati tena Ubunge hii ndiyo mara yake mwisho kuwa Mbunge, alibahatisha 2010 wakati watu wakiwa wamelala hawajitambui, sasa watu wameamka wanajua Lema ni mvuta Bangi, ni Jambazi na ndiye alimuua chacha wangwe.sanjari na Ushirikina Lema ni mpenzi number one wa Waganga wa kienyeji tena kwa mujibu wa mpambe wake wengine kawadhulumu na hao hao wameapa watahakikisha Hapati Ubunge, Lema 2016 atakuwa kazini kwake kwa zamani yaani atakuwa ameludia Ujambazi. R.I.P chacha wangwe.

We kweli funza
 
shida kubwa ya watanzania ni kutopambanua jambo na hasa serikali yetu hii kauli ya lema ni nzito sana inatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa kina ajabu mpaka leo hakuna reaction yoyote toka serikalini kuhusu hili so sisi watanzania tutaamini kauli ya lema mpaka tutapopata

I owe u nothing but respect mkuu
 
Matukio ya kuvamiwa kwa vituo vya polisi hayajaanza sasa wakati wa Ernest Mangu. Nilichobaini kwenye maelezo ya Lema ni kutaka kuwagombanisha IGP Mangu na Mkuu wa Operesheni Chagonja kwa vile ameona kwa sasa Jeshi la Polisi ni moja. Lema ana uzoefu kutokana na kazi yake ya Ujambazi kwamba kunapokuwa na mpasuko ndani ya jeshi la polisi inakuwa ni wahalifu kujipenyeza


Kuna weza kuwa na ukweli pia Cuz Chago alikuwa anautaka sana u-IGP.
 
Hii mipolisi ya ccm nadhani hata uchawi inatumia , nakushukuru Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , maana kwa namna yoyote ile ningekuwa IGP tu halafu ningeishia kulogwa tu .

Tena lema angekumaliza maana ana Utitiri wa waganga wa kienyeji na yeye mwenyewe Binafsi ni mchawi, kwenye Ushirikina Lema hana mpinzani ndani ya Chadema.
 
Tena lema angekumaliza maana ana Utitiri wa waganga wa kienyeji na yeye mwenyewe Binafsi ni mchawi, kwenye Ushirikina Lema hana mpinzani ndani ya Chadema.
Ukishakuwa mbea na mpuuzi kiasi hiki.Umetawaliwa na upumbavu na kuuona ni kitu thamani hivyo.Tayari umeshapoteza utu umebaki km vitoto vya mbuzi vinavyopeteza muda wao kucheza na nyeti.Tayri wewe ni abusive kuliko mtu anayechezea nyeti kwa kupiga punyeto full day.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom