frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Wakuu salamaa?
Jana nimemsikikiza mh. Lema, akieleza juu ya sintofahamu ya kuvamiwa vituo vya police, kupigwa na kuporwa bunduki n.k
Kwa mshangao mkubwa akasema, Kamanda Changoja haamini kama rais kaishafanya uteuzi wa IGP na sasa anafanya sabotage to a new IGP ili aonekane anamapungufu kwa kuratibu matukio mbalimbali n.k
Ni kauli nzito sana, na matukio sasa ya aina hii ni mengi sana, tujadili pamoja kwa undani kama kuna kiukweli vile.
Mungu nibariki nifike December tu.