Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

SIKU ya Tukio . Chacha Akiwa Bungeni aliomba maji lakini Mrema wa CDM ambaye huwahudumia wabunge wa Chadema mjengoni akampa Maji yenye dawa ya Usingizi mda ule ule Chacha alianza kujisikia Vibaya akaludi vyumbani haraka na kwenda kulala, Deus Malya alikwenda kumgongea mara kadhaa hivi ili wasafiri kwenda Dsm kwenye Msiba wa Bhoke Mnanka, lakini chacha akawa hataki wasafiri, Deus Malya aliendelea kumgongea na kumsihi wasafiri hivyo hivyo ikabidi akubali wasafiri, Safari ikaanza huku chacha akiwa anasinzia sinzia huku Deus akiendesha Gari walipofika Eneo la Tukio ikionekana bado ni Mchana jua halijazama Deus akasimamisha Gari akashuka huku chacha akiwa amesinzia akalegeza vifaa kisha akamwamsha kuwa Gari ni mbovu waludi Dodoma kwa ajili ya matengenezo Deus akiwa na lengo na kuludi pindi kukiwa na Giza ili waweze kutekeleza Unyama wao vizuri , wakaludi Dodoma huku Deus akiwasilana na Wauaji ( Kileo na Lema ) akafika Dodoma akazuga zuga Safari ikaanza tena walipofika Eneo la TUKIO giza likawa limetanda Deus akasimamisha Gari huku chacha akiwa kasinzia Wakapanda wauaji wawili ( Lema na Kileo) wakampanua Mdomo chacha kwa kasi na Kumpiga Risasi ikatokea kisogoni na kufariki huku Deus Malya akiwa pembeni, kisha kikaja Kijiko (Greda) kikaipiga ile Gari kwa juu kisha kikaibinua kwa kasi na kutokomea haraka huku Lema na kileo nao wakitoweka na Gari yao ambayo waliificha mitaa ya Tukio, wakamwacha Deus Malya pale akiwahadaa na kuwazuga Watanzania kuwa ile ilikuwa Ajali. Wenyeji wa pale na wanakijiji wanajua kila kitu, hata Tume iliyoundwa walipata picha lote lakini Mbowe na Mnyika ambaye ndiye Mratibu wa shughuri yote walitembeza Rushwa kubwa sana ndiyo maana ilikuwa Vigumu Ukweli huu kujulikana mapema. R.I.P chacha wangwe.

Haya hadithi yako inatufundisha nini? peleka kwenye blog ya CCM au uhuru.
 
Kisha ktk vyombo vya habari Mnyika akamkana Mallya kuwa hawamjui pia ni mfuasi wa ccm lakini leo Mallya ni afsa wa chama cha chadema pale makao makuu mtaa wa mateja na nyuma ya makaburi.

Wote na kileo wapo makao makuu ya Chadema.
 
nimekusoma mkuu.dah kweli utaratibu mbovu coz i think chagonja alikuwa kamishna kwa muda mrefu wakati mangu akiwa sacp tht means mangu alikuwa anampa salute chagonja.sasa kwa nn asingepewa chagonja?

Chagonja ni msomi, ila sio mtendaji angeua sanaaaa.
 
SIKU ya Tukio . Chacha Akiwa Bungeni aliomba maji lakini Mrema wa CDM ambaye huwahudumia wabunge wa Chadema mjengoni akampa Maji yenye dawa ya Usingizi mda ule ule Chacha alianza kujisikia Vibaya akaludi vyumbani haraka na kwenda kulala, Deus Malya alikwenda kumgongea mara kadhaa hivi ili wasafiri kwenda Dsm kwenye Msiba wa Bhoke Mnanka, lakini chacha akawa hataki wasafiri, Deus Malya aliendelea kumgongea na kumsihi wasafiri hivyo hivyo ikabidi akubali wasafiri, Safari ikaanza huku chacha akiwa anasinzia sinzia huku Deus akiendesha Gari walipofika Eneo la Tukio ikionekana bado ni Mchana jua halijazama Deus akasimamisha Gari akashuka huku chacha akiwa amesinzia akalegeza vifaa kisha akamwamsha kuwa Gari ni mbovu waludi Dodoma kwa ajili ya matengenezo Deus akiwa na lengo na kuludi pindi kukiwa na Giza ili waweze kutekeleza Unyama wao vizuri , wakaludi Dodoma huku Deus akiwasilana na Wauaji ( Kileo na Lema ) akafika Dodoma akazuga zuga Safari ikaanza tena walipofika Eneo la TUKIO giza likawa limetanda Deus akasimamisha Gari huku chacha akiwa kasinzia Wakapanda wauaji wawili ( Lema na Kileo) wakampanua Mdomo chacha kwa kasi na Kumpiga Risasi ikatokea kisogoni na kufariki huku Deus Malya akiwa pembeni, kisha kikaja Kijiko (Greda) kikaipiga ile Gari kwa juu kisha kikaibinua kwa kasi na kutokomea haraka huku Lema na kileo nao wakitoweka na Gari yao ambayo waliificha mitaa ya Tukio, wakamwacha Deus Malya pale akiwahadaa na kuwazuga Watanzania kuwa ile ilikuwa Ajali. Wenyeji wa pale na wanakijiji wanajua kila kitu, hata Tume iliyoundwa walipata picha lote lakini Mbowe na Mnyika ambaye ndiye Mratibu wa shughuri yote walitembeza Rushwa kubwa sana ndiyo maana ilikuwa Vigumu Ukweli huu kujulikana mapema. R.I.P chacha wangwe.
Kipindi hicho Mbona Lema hakuwa amejiunga CHADEMA? Alikuwa TLP. Hata kama ni mjinga Lakini msimtungie uwongo kama huu
 
Hii Si Hadithi Ukweli unaujua sema umeamua kujitoa Fahamu maksudi.

Nenda mahakamani, imechuja hii hadithi yenu na December 2015 wote Cello na kifungo miaka 50.
 
Kipindi hicho Mbona Lema hakuwa amejiunga CHADEMA? Alikuwa TLP. Hata kama ni mjinga Lakini msimtungie uwongo kama huu

Achana na mvuta bange huyo...anatunga hadithi za kitoto, wakati watu tunajua history vizuri.

Alianza na ID ya msalani, mussa allani sasa ni funza.
 
Kova ni jambazi. Uliza polisi yeyote Arusha atakuambia mambo yake enzi akiwa RPC Arusha

Sio Arusha, kitu Mbeya bana mpaka alipoletwa Dar walishangilia ni jambawazi balah plus vitasa sanaaaaa.
 
nipo kwenye mchakato ili nikufahamu nikuone tu hata kwa sura ili nijaribu kuoanisha ulivyo na mawazo yako kama nlivyo fanya kwa wenzio baadhi ambao hadi imewabidi wabadili ID zao.soon kiongozi!

Mkuu look tafadhali, nitahitaji kushare matokeo hayo na ww mi najiuliza siku zote hawa watu wanaonwkanaje?
 
Last edited by a moderator:
Hata hizi siasa ni vizuri tunapopeana habari na taarifa mbalimbali au kuleta mada zinazohusu hizi siasa zetu ni bora tukatumia lugha zinazoeleweka ili kuzielewa hizo siasa, kuliko hivi inavyokwenda. Mimi si mtu wa Kiswahili wala si Mwalimu lakini hii ni lugha yetu ya Taifa ambapo ukiona mwenzako anaiandika kimakosa ni vema kuwekana sawa. Hata kama ni Kiingereza, mwenzako akikikosea muelekeze. Lakini katika siasa tuko pamoja mkuu.

Ww jamaa niliona mwanzo una hoja ya msingi ila sasa unaboa
 
Kipindi hicho Mbona Lema hakuwa amejiunga CHADEMA? Alikuwa TLP. Hata kama ni mjinga Lakini msimtungie uwongo kama huu

Lema alikwenda kumuua chacha akiwa ni Jambazi aliyepewa Tenda tu na Mnyika ambaye alipewa jukumu na Mbowe, kwa faida yako Lema na Mbowe ni ndugu wa DNA kama ilivyo kwa Mnyika na mdee hao wote ni ndugu moja.huu Si Uongo Amini usiamini Huyo ndiyo Lema na vitendo vyake kabla ya kuwa Mbunge vilikuwa ni vya kutisha sana. R.I.P chacha wangwe.
 
Achana na mvuta bange huyo...anatunga hadithi za kitoto, wakati watu tunajua history vizuri.

Alianza na ID ya msalani, mussa allani sasa ni funza.

Mwenye Akili ndogo kama wewe ndiye ataamini hii ni Hadith lakini wajanja wote wanajua Lema ndiye alimuua chacha wangwe kuna kipindi alijaribu kumuua Zito lakini zito akamshitukia na kumwonya mapema akaogopa. Ni History ipi unajua? Wewe ndiye utatunga History lakini ukweli ndiyo huu, Najua inakuuma maana ni kama umevuliwa nguo sasa huna na kujificha, hata Uongee nini hutakaa uwabadilishe watu juu ya Lema kuhusika na kifo cha chacha wangwe.
 
Ninavyomfahamu Chagonja, taarifa hizo nazipgia mstari. Chagonja ni mpuuzi fulani anayejidhania kuwa ni smart bila ya kujua kwamba kila afanyacho ni kama anaficha gizani taa iwakayo
 
Lema alikwenda kumuua chacha akiwa ni Jambazi aliyepewa Tenda tu na Mnyika ambaye alipewa jukumu na Mbowe, kwa faida yako Lema na Mbowe ni ndugu wa DNA kama ilivyo kwa Mnyika na mdee hao wote ni ndugu moja.huu Si Uongo Amini usiamini Huyo ndiyo Lema na vitendo vyake kabla ya kuwa Mbunge vilikuwa ni vya kutisha sana. R.I.P chacha wangwe.

Unarukaruka tuuuuuu, na bado mara jambazi tena, wakat miaka hio alikuwa Botswana anasoma nani mwanachama wa Tlp.
 
Nenda mahakamani, imechuja hii hadithi yenu na December 2015 wote Cello na kifungo miaka 50.

Mahakama ya wapi ? Ya Tanzania au Mahakamani ya uhalifu wa kimataifa? Ebu jiulize kama Mbowe na Mnyika waliweza kutembeza Rushwa tume yote mpaka mashuhuda wa pale kijijni watashindwa vipi kumpoza Hakimu mmoja tu.Rushwa ni Adui wa Haki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom