Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

Wakuu salamaa?

Jana nimemsikikiza mh. Lema, akieleza juu ya sintofahamu ya kuvamiwa vituo vya police, kupigwa na kuporwa bunduki n.k

Kwa mshangao mkubwa akasema, Kamanda Changoja haamini kama rais kaishafanya uteuzi wa IGP na sasa anafanya sabotage to a new IGP ili aonekane anamapungufu kwa kuratibu matukio mbalimbali n.k

Ni kauli nzito sana, na matukio sasa ya aina hii ni mengi sana, tujadili pamoja kwa undani kama kuna kiukweli vile.

Mungu nibariki nifike December tu.

R.I.P chacha wangwe
 
Lema alikurupuka ktk speech yake.hakuwa na uhakika wa alichokisema

Lema akivuta Bangi huwa ni mropokaji sana, IGP Mangu uwe makini na Bangi za Lema vinginevyo atakuchonganisha na makamanda wenzako . R.I.P chacha wangwe.
 
Mzimu wa chacha wangwe sasa umehamia nyumbani kwa Lema kila Dk upo unamlilia Lema juu ya Unyama aliomtendea Marehemu chacha wangwe hivyo kwa sasa amepagawa na kuwa kama kachanganyikiwa hivi na mpaka Dec watu watasikia mengi Maana sasa anaelekea kubaya zaidi. R.I.P chacha wangwe.
 
Lema alikurupuka ktk speech yake.hakuwa na uhakika wa alichokisema

Lema akivuta Bangi huwa ni mropokaji sana, IGP Mangu uwe makini na Bangi za Lema vinginevyo atakuchonganisha na makamanda wenzako . R.I.P chacha wangwe.
 
Mitihani mingine ni migumu sana. Haswa ukiwa kwenye kiti. . . Yaani interview ukiwa kazini!!!!
 
Ikumbukwe aliwahi kusema waziri mkuu muongo,wakapanic na kutaka alete ushahidi ndani ya siku kumi, akasema ushahidi anao na siku kumi ni nyingi, wakanywea kama sehemu za siri ikipigwa na baridi
 
IGP mstaafu Said Mwema alikuwa Mchaga mwenzake na alimlinda sana juu ya repot ya Tume juu ya Kifo cha Chacha wangwe. Asimchezee Mangu anaweza kuanzisha uchunguzi wa kifo cha chacha Wangwe Upya na Lema akaishia kufungwa milele .

unajua Lema alijiunga mwaka gani Chadema na chacha aliuiwa na CCM mwaka gani?
 
kama alichosema lema ni kweli ni jambo ambalo lilitegemewa .....

Huo utakuwa ni uzembe wa rais na washauri wake ...kwani toka enzi za awamu ya kwanza au ya pili ...rais anapoamua kuchukua mkuu wa polisi toka mikoani au rpc na kumpandisha kuwa igp maana yake ni kuwa anakuwa amewaruka cheo makamishna wa polisi walio makao makuu ...jeshini hilo ni suala ambalo huchukuliwa kama dharau ..

Mfano upo kwa kuanzia na haroun mahundi ...huyu alirushwa na mwinyi toka rpc -arusha na kuwa igp ......,baadaye omar mahita akarushwa na mkapa toka rpc-arusha na kuwa igp ......alichofanya ni kuwatawanya wale makamishna wa makao makuu polisi ili kuondoa hali hiyo ...kina edwin mann na wenzake .....
Hata kikwete mara ya kwanza aliendelea na utaratibu aliokuta ...alipomtoa saidi mwema toka interpal kuwa igp ...ambapo mwema alichukuliwa kama rpc ...kwa kuwa aliondoka nchini akiwa rpc -mbeya baada ya ile kashfa ya mahabusu kufa ...alipofika pale makao makuu rais kikwete aliwaondoa makamishna kama tibasana, na adadi rajabu na kuwapangia kazi zingine foreign na wizara ya katiba ..ili kumpa nafasi mwema kufanya kazi bila kuleta ukinzani na wakuu wake wa mwanzo..

Hivyo basi ili igp mangu afanye kazi lazima basi apewe makamishna ambao yeye alikuwa seniour kwao ....na ile timu aliyoikuta makao makuu ya polisi kama kamishna chagonja na wenzake ..wote ambao alikuwa akiwapigia saluti ...wapangiwe kazi wizara zingine kusubiria kustaafu ......

Katika mambo ya jeshi ni mambo ya kawaida kabisa inajulikana huwezi kuletewa mtu ambaye alikuwa anakupigia saluti kukuongoza ...kwanza uteuzi wake lazima uendane na uhamisho wa wale wote ambao ni wakubwa kwake .....kule jw ..mfano ikitokea hivyo utasikia wale senior generals wanapewa ubalozi ,ukuu wa mkoa ..wanapelekwa ikulu kama washauri etc ili ku maintain descipline ....
 
LAKINI KWA KUONGEZEA ...KUNA JAMBO MOJA ...KWA MIAKA KARIBU 30 KABLA YA MWAKA 1985 ...AMBAKO WAKUU WALIKUWA ENZI YA KINA SOLOMON LIANI ,LEMOMO ,MGAYA ETC
BAADA YA HAPO NI ZAIDI YA MIAKA 30 IGP HAJAWAHI KUTOKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI ......IGP's WOTE WAMEKUWA WAKITOKEA MIKOANI NA KURUSHWA VYEO HASA CHEO CHA KAMISHNA NA KUWA IGP....
HII INA MAANA HAWA MAKAMISHNA WA POLISI WASINUNE SANA WAKUBALIANE TU NA HALI HALISI ...KAMA IGP ANGETOKA MIONGONI MWA MAKAMISHNA BASI ANGEKUWA AMEVUNJA REKODI ...
 
Lema akivuta Bangi huwa ni mropokaji sana, IGP Mangu uwe makini na Bangi za Lema vinginevyo atakuchonganisha na makamanda wenzako . R.I.P chacha wangwe.

funza kumbe wako kwenye ubongo wako sio miguu pole saan RIP ur brain
 
unajua Lema alijiunga mwaka gani Chadema na chacha aliuiwa na CCM mwaka gani?

Hebu kaa fikiria hii mada inataka fikra kama sio uzoefu!!
Unaweza kuwa msomaji mzuri tu au ukajibu pia ila sio kwa logic hii unayotumia
 
kama alichosema lema ni kweli ni jambo ambalo lilitegemewa .....

Huo utakuwa ni uzembe wa rais na washauri wake ...kwani toka enzi za awamu ya kwanza au ya pili ...rais anapoamua kuchukua mkuu wa polisi toka mikoani au rpc na kumpandisha kuwa igp maana yake ni kuwa anakuwa amewaruka cheo makamishna wa polisi walio makao makuu ...jeshini hilo ni suala ambalo huchukuliwa kama dharau ..

Mfano upo kwa kuanzia na haroun mahundi ...huyu alirushwa na mwinyi toka rpc -arusha na kuwa igp ......,baadaye omar mahita akarushwa na mkapa toka rpc-arusha na kuwa igp ......alichofanya ni kuwatawanya wale makamishna wa makao makuu polisi ili kuondoa hali hiyo ...kina edwin mann na wenzake .....
Hata kikwete mara ya kwanza aliendelea na utaratibu aliokuta ...alipomtoa saidi mwema toka interpal kuwa igp ...ambapo mwema alichukuliwa kama rpc ...kwa kuwa aliondoka nchini akiwa rpc -mbeya baada ya ile kashfa ya mahabusu kufa ...alipofika pale makao makuu rais kikwete aliwaondoa makamishna kama tibasana, na adadi rajabu na kuwapangia kazi zingine foreign na wizara ya katiba ..ili kumpa nafasi mwema kufanya kazi bila kuleta ukinzani na wakuu wake wa mwanzo..

Hivyo basi ili igp mangu afanye kazi lazima basi apewe makamishna ambao yeye alikuwa seniour kwao ....na ile timu aliyoikuta makao makuu ya polisi kama kamishna chagonja na wenzake ..wote ambao alikuwa akiwapigia saluti ...wapangiwe kazi wizara zingine kusubiria kustaafu ......

Katika mambo ya jeshi ni mambo ya kawaida kabisa inajulikana huwezi kuletewa mtu ambaye alikuwa anakupigia saluti kukuongoza ...kwanza uteuzi wake lazima uendane na uhamisho wa wale wote ambao ni wakubwa kwake .....kule jw ..mfano ikitokea hivyo utasikia wale senior generals wanapewa ubalozi ,ukuu wa mkoa ..wanapelekwa ikulu kama washauri etc ili ku maintain descipline ....

Wisdom and experience combined!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom