Abbasy
Senior Member
- Nov 24, 2010
- 123
- 9
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
mpambanaji makamba kajivue gamba au lauma ndo unapumuzika kwa kuandika upupu ucwe kama flekeo ww