Lema awasha moto Igunga

Lema awasha moto Igunga

avatar9093_2.gif

Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?

Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...

Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
Huyu ndiye mbunge, 'Those they come and go' nimetambua kwa nini wabunge wa CCM walikuwa wanalazimisha kuhojiwa kwa kiswahili.
 
Heee! Mkuu sema kweli, huyu ni mbunge?! Hii sura niliiona juzi kati inaongea utumbo StarTv. Halafu ni dr, walahi hawa ndo wale una malaria anakupasua kichwa. Anayebisha amuulize huyu lile swali lililomshinda m-kwere (kwa nini Tz ni maskini)...
 
teh teh english ni tatizo la kitaifa kwa alivyoandika nimebaini ni mtz bila barua ya utambulisho ya mtendaji kata LOL hoja ya msingi ni kuwa na huruma jamaa yuko kwenye harakati za kuvua gamba nadhani inaima naifananisha na kuchuna ngozi
 
Mhe. Kigwangalla sasa unaanza kuharibu, sikutaka kuchangia katika hoja hii hata kidogo ila kwa kuanza kutoa comment kama mtoto wa darasa la kwanza au la pili unanifanya nianze kudoubt uelewa wako na elimu yako kwa ujumla, siasa si kuongea point kuwa nitafanya 1, 2,3 la hasha ni pamoja na kuvumbua vitu vilivyofichika kama hayo uliyosema kuhusu viongozi wa CDM, pili wanasiasa wengi duniani wamefanikiwa sana kwa style ya kudai haki inayomilikiwa na wanyanganyi kama CCM, sina haja ya kutoa mifano wewe upo CCM na unajua mnachojivunia kuhusu ukombozi wa bara la Afrika, sijui kama ulikuwa bila umwangaji wa DAMU... yaani umenifanya nikuone kuwa wewe ni KILAZA WA SIASA kuliko VILAZA WOTE NILIOPATA KUWAONA.

Kama CDM wanakuandama kuhusiana na jinsi ulivyopata elimu yako, wewe toa fact kwamba siyo kweli, ni rahisi sana sina haja ya kwenda huku kama vipi wewe kaa kimya subiri kama watakwenda mahakamani.

Otherwise nakushauri uangalie jinsi gani ya kuwasaidia wana Nzega wezako na Tabora kwa ujumla, hali ya Nzega na Tabora kwa ujumla ni mbaya sana, hasa kwenye infrastructure, maji, elimu etc sehemu kubwa ya jimbo lako watu wana shida na matatizo mengi jipange kuyatatua na wala si kubishana na wa JF, wapo makini na tunaijua nchi hii ndani nje.

Nafikiri ni vizuri ukatumia pesa zako za ubunge kutafuta consultant wa kukusaidia kuwainua kiuchumi wanazenga wezako badala ya kukaa na kuidiscuss CDM.
Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?

Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...

Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
Wewe mjinga tu kama hao wajinga wenzako kwani wewe ulitakaje??!!! kwani kuna ubaya gani kudunda mafisadi kadhaa ikibidi???!!! Huna maana eti watanzania walikerwa!! unauhakika na unachoongea?
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mhe. Kigwangalla sasa unaanza kuharibu, sikutaka kuchangia katika hoja hii hata kidogo ila kwa kuanza kutoa comment kama mtoto wa darasa la kwanza au la pili unanifanya nianze kudoubt uelewa wako na elimu yako kwa ujumla, siasa si kuongea point kuwa nitafanya 1, 2,3 la hasha ni pamoja na kuvumbua vitu vilivyofichika kama hayo uliyosema kuhusu viongozi wa CDM, pili wanasiasa wengi duniani wamefanikiwa sana kwa style ya kudai haki inayomilikiwa na wanyanganyi kama CCM, sina haja ya kutoa mifano wewe upo CCM na unajua mnachojivunia kuhusu ukombozi wa bara la Afrika, sijui kama ulikuwa bila umwangaji wa DAMU... yaani umenifanya nikuone kuwa wewe ni KILAZA WA SIASA kuliko VILAZA WOTE NILIOPATA KUWAONA.

Kama CDM wanakuandama kuhusiana na jinsi ulivyopata elimu yako, wewe toa fact kwamba siyo kweli, ni rahisi sana sina haja ya kwenda huku kama vipi wewe kaa kimya subiri kama watakwenda mahakamani.

Otherwise nakushauri uangalie jinsi gani ya kuwasaidia wana Nzega wezako na Tabora kwa ujumla, hali ya Nzega na Tabora kwa ujumla ni mbaya sana, hasa kwenye infrastructure, maji, elimu etc sehemu kubwa ya jimbo lako watu wana shida na matatizo mengi jipange kuyatatua na wala si kubishana na wa JF, wapo makini na tunaijua nchi hii ndani nje.

Nafikiri ni vizuri ukatumia pesa zako za ubunge kutafuta consultant wa kukusaidia kuwainua kiuchumi wanazenga wezako badala ya kukaa na kuidiscuss CDM.

mkuu pole kwa kazi kubwa na nzuri uliyofanya kumshauri mwendawazimu akaelewa
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
wewe ni mjinga tu kama hao waliokutuma, Sasa wewe ulitakaje? ikiwa mafisadi kadhaa wakishushiwa kifinyo wewe kinachokuuma ni nini? au wewe ni mtoto wa mmoja wa hao mafisadi? Sisi watanzania hatuja kerwa chochote ila tumefurahishwa na uchungu wa vijana kwa nchi yao maana hawataki kuburuzwa na mafisadi!!!!
 
hayo ndiyo mazao halisi ya Taifa letu! vijana wanaoweza kujenga moyo wa kizalendo kwa wenzao kupambana kwa ajili ya ukombozi wa kweli.
keep moving on Lema!!!
 
mkuu pole kwa kazi kubwa na nzuri uliyofanya kumshauri mwendawazimu akaelewa

Naona mkuu unajitahidi sana kunitafuta...sasa umeamua kunitukana kabisa. Ahsante. Hiyo ni dalili mahsusi ya kuonesha kuwa umeshindwa kujenga hoja! I am never shaken with people like you...
 
According to your post Kigwangala nimekuona wewe ni kilaza, huna hata aibu...kafie mbali
 
Those they come and go...

Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!

Halafu wanatutengenezea mswada kwa kiingereza. Kazi kweli kweli! Kama expression ya kiingereza ni "those they come and go..."! Halafu huyu ndo Dk! CCM inatakiwa ijivue gamba la mafisadi wa elimu pia!
 
Huyu ndiye mbunge, 'Those they come and go' nimetambua kwa nini wabunge wa CCM walikuwa wanalazimisha kuhojiwa kwa kiswahili.

Hivi ulinisikia nilipoongea kiingereza kule Bungeni? Ulisikia 'broken english' pale hata kidogo? Na hapo kwenye hiyo sentence umeona kitu gani kimekosewa? Hebu sahihisha sasa wewe tuone! Japokuwa naongea na naandika english nzuri sioni fahari sana, kwani mimi ni mnyamwezi na mswahili na ninapenda na ninasikia fahari zaidi kuongea kinyamwezi na kiswahili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom