Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Wadau na wananchi hii ya Tanzania, leo shetani ameshndwa akiwa na majeshi yake yote, alijaribu kuwatesa watu wema kama watamkufuru Mungu akashindwa, akaanzisha zali la kuwafungulia mashitaka ya uongo km la Prof. Mahalu hapo akala mafumbi kama alivyoamuriwa tokea zamani, sasa wakati wake wa kwenda kuchomwa moto umewadia. Kilichotokea leo ni AIBU KUBWA kwa mamlaka inayoteua majaji na vigezo vinavyotumika. Tujiulize ni watanzani wangapi wamepelekwa lupango kwa hukumu za kupikwa kama hizi? Nimetafakari kwa kina nikagundua kuwa kuna shida kwenye mfumo mzima wa utoaji haki kuanzia mahakamu kuu hadi za mwanzo za mabaraza ya ARDHI, eee Mwenyezi Mungu shusha rungu lako kwa wale wanaofurahia dhuluma na manyanyaso kwa masikini wasio na pesa.
 
Ni zawadi ya NOELI na mwaka mpya kwa wasaka ukombozi wa taifa hili (WANANCHI) na pigo takatifu kwa mafisadi, wezi wa rasilimali za taifa hili na wasaliti wa ukombozi
 
Huu ni muendelezo wa kazi ya ukombozi wa wanyonge, Watanzania tutakuwa Huru tu coz Makamanda tutaipigania nchi yetu hadi kieleweke.Mwisho wa udharimu,ulevi wa madaraka,ufisadi na kila aina ya uchafu wa hii Serikali ya CCM ni 2015.
Big up saana pipoooziiiiiiiiiiiiiiiii............................
 
poaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
sasa idadi imetimia hamsini ( 50 ) yaaani ni nusu ya mia
sijui ni speed ya aina gani tulianza na wabunge sita sasa hamsini
yaani ni mara nane ya mwaka 2005
ok mara nane ya 2010 ndani ya mwaka 2015 itakuwa 400
yaani mwaka 2015 tunatake over bunge
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees.............. hongera kamanda lema
 
Hivi hawo jamaa waliofungua hiyo kesi wamelipwa shilingi ngapi wamebaki na ngapi wamefaidi nini zaidi ya kuandika historia ya ujinga na hatimaye kudhalilisha kizazi chao kwa kupingana na mapinduzi. Hao ni wa kuzomea!!!!!
 
Hellow wanajamii kwa mara ya kwanza nawasalim nikiwa na furaha NURU imeshinda GIZA.Pamoja sana.ALUTURE CONTINUIRE.Wana wa ARUSHA PAMOKO.
 
Nimebaki mdomo wazi kwa furaha. Wakuu yeyote mwenye kufanikiwa kupata nakala ya Hukumu atubandikie humu tuone majaji wa heshima wametiririka kiasi gani katika kutoa haki.
 
Back
Top Bottom