Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

In this case, wananchi wa Arusha wampe nafasi tena 2015 maana hakutekeleza majukumu yake na ahadi zake kutokana na kusinyang'anywa kwake ubunge
 
Nafikiri kungekuwa na utaratibu wa kupitia hizi jukumu za mahakama kuu hata ikiwezekana majaji kuhojiwa kwani kwa mtu mwente uelewa na sheria japo ya Diploma hukumu ya jaji huyo ilikuwa ni Rabbish.

Mkuu awali nilisema kuwa hata wa certificate ya law angeweza kuona kuwa kesi hakuwa na mashiko na hukumu ilikuwa wazi kabisa. Mimi ambaye hata darasa la sheria sijapita lakini naweza kuongelea ile kesi kwenye bar stool kubwa na nikatoa hukumu ya haki!! Sasa aliyeitoa leo asikilize katika media maana adhabu aliyoipata ni ugonjwa wa maisha!!!!

I hope baada ya ile hukumu alipata stress iliyompelekea hali aliyokuwa nayo sasa!!! Tutalipwa hapa hapa duniani kwa madhambi yetu!! Tusipende kununuliwa hata kwa kiasi gani ili kupindisha haki!!!! Tutumike kwa Weledi kama walivyofanya leo Hons.

Kimaro, Masati na mwenzao!! Hawakumuogopa Ikulu wala mtu yeyote!! wametumia taaluma yao barabara!!
 
Yericko Nyerere na Ben Saanane, mnastahili hongera tangu kesi hii ilipoanza kusikiliziwa Dar es Salaam. U kept JF updated.

Tuwashukuru wote pia ambao wamekuwa wakifuatilia kesi hii, kwa nia njema...ofcourse na kinyume chake pia. Watu wote waliokuwa wakitembea, wakila, wakilala, wakiamuka wakimuomba Mwenyezi Mungu awajalie majaji wa kesi hii, kuiona haki na kweli.

Katika mhimili unaokabiliwa na matatizo lukuki kiasi cha kuminya haki za watu wengi, bado kuna some exceptionals kama hizi za majaji kuamua kusimamia taaluma yao, kulinda heshima zao na heshima ya mhimili huo muhimu, kuhakikisha sheria zinatafsiriwa ipasavyo, lakini muhimu zaidi, kuonesha kuwa haki inaweza kutendeka.

Ni wito wa wapenda haki kuwa, majaji wengine wataendelea kusimamia haki, ili haki na matumaini (kwa sasa hayapo kutokana na uongozi mbovu na siasa chafu za CCM na serikali yake) ndiyo iwe misingi ya amani na utulivu wa kweli kwa nchi yetu.

Kesi karibu zote zilizofunguliwa dhidi ya wabunge na madiwani wa CHADEMA kupinga ubunge na udiwani wao, uliopatikana kwa nguvu ya umma, zilikuwa ni zaidi ya kesi za kawaida. From Gervas Mbasa in Biharamulo to Meshack Opulukwa in Meatu, from John in Ubungo to Tundu Lissu in Singida, from Godbless in Arusha to Hyness Kiwia in Ilemela, from Halima Mdee in Kawe to

Asanteni sana
 
Mkuu nadhani atalipwa haki zake zote za msingi alizopoteza akiwa nje ya bunge. Hatapoteza ata moja.

majaji waliosoma hukumu tuwape hongera zao chande vp
je watamlipa fidia
je bungeni atalipwa mshahara wa kipindi chote alichovuliwa
je hoja ya waziri mkuu kadanganya aliyoiibua itajibiwa kwa kuwa amerejeshewa ubunge
tuelimishane
 
penye ukweli huongo hujitenga hongera lema ni wakati muafaka sasa wa kurudi kuwatumia wananchi wako waliokuchagua ambao walimkosa mwakilishi wao jimboni kwa muda mrefu na kusaidia kutatua kero mbalimbali zinazowakabili.
 
Hii kitu inakuwaje kidole kina washa au?

attachment.php
 

Attachments

  • 150662_446647842051391_118436426_n.jpg
    150662_446647842051391_118436426_n.jpg
    24.4 KB · Views: 379

DSC00031.JPG


Wanainuka, Wanainama, Wanaona haya haooooooo..........................x100!!!
 
Kma ni hivyo kwa nini mioyo yenu inawaenda mbio kwa kachama kadogo?

Sisi hatuna wasiwasi Arusha ndio ngome ya Chadema hata uchaguzi ungerudiwa bado Lema angeshinda je kulikuwa na haja gani ya kupoteza pesa za walipa kodi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
salamu zimfikie zito na masalia yake, huo ndo mwisho wake.
 
Haki siku zote haipotei hao maboya wa ccm leo hawalali wala kula na pia nawapa msisitizo makamanda hizo pesa za fidia wapewe zote mapema iwezekanayo
 
Hongera sana kamanda Lema, sasa simamia mipango ya maendeleo vyema ili ionekane haki inatendeka kwa wanaarusha.
 
DSC00059.JPG


Kiboko ya CCM ni huyu jamaa, nae anafrahia kula X.mass vizuri kwa kazi nzuri aliyo ifanya
 
Back
Top Bottom