LEMA alishashidwa kesi mjiandae na uchaguzi Arusha.
peopleeeeeeeeeeeez!
Kwa tunao amini mungu majibu tuliyonayo ni kuwa mh. Godblec lema anarudishwa bungeni.
Mkuu hata kama hukusoma sheria kesi ya lema ilikuwa na magumashi kuanzia mwanzo mpaka siku ya hukumu ndiyo maana kila mwenye akili alijua Ikulu ilimhukumu lema....Habari zinakuwaje hizi mbona haki imepatikana bila chenga nyingi?kumbe haki ipo katika nchi hii
Soko Mjinga kakaMkuu leo wapi sasa hatimae kimeeleweka...
Tumeshindaaaaaaa