Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Hongera, sasa nenda kawatumikie wananchi wako.

Mngeshindwa mngesema mahakama imehongwa!
 
Sahihisho Kamanda Nyerere, kwenye picha ya kwanza juu kabisa, wa kwanza mwenye Tshert ya M4C ni kamanda Kilewo (katibu Wa Chadema Kinondoni, Wa pili ni Kamnda Joshua Nassari (Mbunge Arumeru Mashariki) Kamanda Mbowe (KUB) Kamanda Lema (Mbunge Arusha mjini) na Kamanda Aman Golugwa (Katibu Wa Chadema Mkoa Arusha).

Asante

Magoma Jr
 
Hivi Kamanda Lema kurudishwa mjengoni ile hoja ya waziri mkuu Pinda kusema uongo itafufuliwa? Maana spika Makinda alisema kwa kuwa Lema alivuliwa ubunge basi hoja yake imekufa!

Akitaka (Lema) anaweza kuifufua upya; hiyo nafasi ipo. Ingalikuwa ilisikilizwa, kujadiliwa na Bunge na hatimaye kutolewa maamuzi rasmi na "kiti" hiyo nafasi isingekuwepo tena hadi baada ya muda fulani (ref. Richmond Case). Lakini kwa hili bado Lema anaweza kulifufua; at least to the best of my knowledge I think so.
 
Naomba kujua,posho na mishahara yote toka ame simamishwa
atapewa au ndo kudhulumiwa tena?
 
Sikia wewe fake na dhaifu Jaji Gabriel Rwakibarila Kondoo kama mchungaji na ujiudhulu hujui kazi.


” Safari ya ukombozi ilianza zamani wengine walikufa wengine walipoteza viungo vyao lakini safari inaendelea, msiogope ninyi mlio wengi, maana mkiogopa mimi nitaogopa zaidi lakini nawatia moyo msiogope kuweni jasiri haki haiwezi kudhalilishwa,” by Lema!


 
Makamanda vipi leo JK ajaingilia hii kesi? Siku zote Rais wetu JK atabaki kuwa Rais makini mwenye kuheshimu uhuru wa mahakama.

Siku zote napenda kuheshimu maamuzi ya mahakama haki ni kipimo bora cha utawala wa JK.

Hongera Chadema hongera Lema.



hongera CDM,hongera Lema na hongera ritz kwa kuanza kuona mwanga toka kwenye bonde la uvuli wa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka
 
Nina raha mpaka vidole vinashindwa kutype. Sijui niandike nini, ila namshukuru Mungu wa haki kwamba ameiachia haki ichukue mkondo wake.
Karibu tena katika ofisi yako ya ubunge Lema.
Lukuvi leo hii atakuwa anapumulia mashine.
.
 
Hili la huyu Zitto; tuna hofu naye sana na kama jana uliingia jukwaa hili ungeona mawazo ya member wengi kuhusu hili! Kazi ipo kweli kweli!
Huyu Bwn ZZK nilishamstukia zamani, ni hatari kuliko maelezo, ngoja madiwani wa Arusha watubu madhambi yao uone!!!!

 
Haki haipotei bali hucheleweshwa tu,hatimaye MUNGU ameonyesha ukuu wake! Hongera sana kamanda Lema.
 
Nina furaha sana kupata habari hizi na najaribu kuzisambaza kwa wana-Mwanza lakini wana-Mwanza wana wasiwasi sana eti kuna uwezekano nawadanganya.

Wasiwasi wao ni eti kwa nini hukumu imekuwa asubuhi na mapema sana,
Nawaombeni mlioko Dar mtubandikie basi picha za hapo mahakamani kwani picha hubeba ujumbe zaidi ya maandishi.

Kwangu mimi naamini na namshukuru Mungu kwa ushindi huo kwa Kamanda Lema!
hukumu imetolewa asbh na mapema ili magazeti yapate habari kilaini
 
Hiyo ni 1 no 2 iko karibu sn ,sn,wanaojua wametumika iwe ni ndani ya sisiem & cdm tubuni maana bado panga la Mungu litapita ,wanaohitaji kufanya hivyo na wafanye ! Msifanye mzaha ! Najua mnajua ni zaidi ya hiki nilichotoa hapa kama maoni lakini msifikiri mara 2,2
 
Kufuati kurudishwa bungeni kwa kamanda Lema, kutafanya spika kurejesha uthibitisho alio upeleka LEMA bungeni dhidi ya Pinda kuwadanganya wananchi juu ya mauaji ya raia arusha. success is never ending.....
 
Yaani where l am it is a perfect wheather kuvaa gwanda, lemme go home n change.
 
Hayo mabilioni ambayo mngeyatumia kwenye chaguzi holela nendeni mkapeleke Muhimbili pale wagonjwa zaidi ya 50% wamelala chini hamna vitanda.
 
Chama kile cha zamani, mwenyekiti amekumbusha kutotegemea polisi, naona na mahakama sasa inawatumia salamu ya kutoitegemea. Tafakarini
 
Back
Top Bottom