democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
vipi yule kiongozi mkuu wa masalia a.k.a nyepesi kaonyesha ushirikiano leo?
Bado hawajafikavipi wazee wa vitu vyenye ncha kali nao wamefika?
Sifanyi kitu leo ni kurefresh tu
Kamanda Yericko Nyerere walete walete hao majaji,na kwa sababu umethibitisha kwamba hali ya hewa ni nzuri basi tunaamini tayari mambo ni mazuri,ila wale wanaoendelea kulumbana watuvumilie kwanza kwa muda wasiingize zile Thread zao za kujibizana kwa sababu najua kuna mwingien naye leo anakuja kumwagika humu,wasubiri kwanza tukishamaliza masuala ya hukumu basi waje humu tena tuanze kuona mnyukano wao.
Sifanyi kitu leo ni kurefresh tu