Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Yeriko hatuwezi pata direct updates za hiyo hukumu? hebu tupia kila linalosomwa ?
 
Hili la huyu Zitto; tuna hofu naye sana na kama jana uliingia jukwaa hili ungeona mawazo ya member wengi kuhusu hili! Kazi ipo kweli kweli!
 
fanya hima,, maana nahisi mlango wa kuzimu ushafunguka,,,, na ukombozi umekaribia, masaa matatu watu pipoz power
 
Hili la huyu Zitto; tuna hofu naye sana na kama jana uliingia jukwaa hili ungeona mawazo ya member wengi kuhusu hili! Kazi ipo kweli kweli!

Hivi Mbona Zitto huwa haji kwenye hzi kwesi za lema

Wapi Zitto kwenye kesiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii??? aliyosema Ben Kwa madiwani wa Arusha ni kweli????????
 
Last edited by a moderator:
Namtakia kila la kheri! mh.Lema..... Hivi hii kesi si inasemekana Ikulu iliingilia ? na kama ni kweli leo tutegemee matokeo tofauti nayale ya mwanzo ambayo ndio Ikulu iliyataka?
 
Askari wa mahakama wamsachi vizuri Ben Saanane anaweza akawa amebeba Kuber special.
 
Mkuu Invisible Leo ni special day naomba ufungulie GUESTS waweze kuaccess jukwaa la siasa

maana mimi nitakuwa mojawapo naingia Barabarani nitakuwa naendesha safari ndefu NOKIA yangu nikia access kama Guest naweza kufatilia mujadala ila nikilogin inaniambia page is full, sasa naomba kwa leo tu waruhusu guest tuaccess hili jukwaa

Pleaaasseeeee NAKALA KWA Fang, Invisible, Etc
 
wakuuu mkuu yericko anasema kesi imeanza kusomwa, tuwe makini sasa, kila lakheri Lema
 
Namtakia kila la kheri! mh.Lema..... Hivi hii kesi si inasemekana Ikulu iliingilia ? na kama ni kweli leo tutegemee matokeo tofauti nayale ya mwanzo ambayo ndio Ikulu iliyataka?
Kuwa na imani na mahakama,haki itatendeka, lema kuwepo bungeni wala sio tatizo kwa CCM, yani hata sugu ni tishio kuliko lema huko bungeni.
 
Back
Top Bottom