Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

wamepima wakaona impact yake nje ya mjengo ni kubwa mno bora akarudi bungeni. Hv hawa majaji wanaotoaga hukumu za ovyo ambazo zinapoteza muda na fedha za watanzania wanachukuliwa hatua gani? Anyway, welcome back in work jembe LEMA.
 
I hope mahakama ya rufaa itatumia maneno makali juu ya mahakama kuu kumvua ubunge mtu kwa maneno yasiyothibitika
 
Wanajamvi, tuwekeeni nakala ya hiyo hukumu hapa ilisisi wengine tuisome.
 
Isijekuwa wanabalance maamuzi waliyoyapanga sumbawanga na igunga,tusiwe wepesi kushabikia matukio yapasa kuweka ulinganifu ,athari za ushindi huu na matokeo ya baadaye kwenye hayo majimbo.kwani huko nako naona jamaa wa magamba wanapumulia mashine!
 
Tasnia ya sheria ni usanii, kupotezeana muda na gharama bila kuwa na tija. Nchi ile ile sheria zile zile, hukumu tofauti. Aliyehukumu kwa makosa atachukuliwa hatua?
 
Nguvu ya Mungu imeshinda nguvu ya Ikulu.

Sasa tunaweza kurudi kwenye ule mjadala wetu wa wale jamaa wa PM7. Hivi leo ni zamu ya nani kufunguka wadau??
Nasikia ni Nyakarungu huyu jamaa nae nilishaanza kumshtukia ni mamluki...track iko sokoni leo...
 
Nina furaha sana kupata habari hizi na najaribu kuzisambaza kwa wana-Mwanza lakini wana-Mwanza wana wasiwasi sana eti kuna uwezekano nawadanganya.

Wasiwasi wao ni eti kwa nini hukumu imekuwa asubuhi na mapema sana,
Nawaombeni mlioko Dar mtubandikie basi picha za hapo mahakamani kwani picha hubeba ujumbe zaidi ya maandishi.

Kwangu mimi naamini na namshukuru Mungu kwa ushindi huo kwa Kamanda Lema!
 
Dogo anasherehekea X-mass na mwaka mpya kwa mguu wa kulia. hongera Lema, Viva CDM
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssssss!!!!
 
Back
Top Bottom