Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

Inasemekana kashavuta sa sijui ni kweli
Anyway muda utaongea

Angalau Chadema wao wanaishia kulalamika mitandaoni kwa CCM ukitoa maoni wanakupoteza free Polepole.
hp yale sio maoni ndio maana yakamfika, kwann hakuyatoa kwa jpm uchaguzi wa 2020, kwann hakuyatoa kwa jpm lissu alivyopigwa risasi, kwann hakuyatoa kwa jpm ben sa8 alipopotea? utakavyokuja ndivyo tutakavyokupokea.
 
Sawa, kwahiyo ndio wakamteka.
 
Ila mdau kakuuliza Nchimbi yuko wapi ila wewe umekuja na ngonjera zako za Uhuru wa Chadema. Kumbuka ulikuwa Chawa wake Promax ndiyo maana umeulizwa swali hilo
porojo za nje ya hoja mahususi mezani, kistaarabu zinaandikiwa uzi mahususi jukwaani na iitapendeza zaidi kuliko kujaribu kupindisha au kuhamisha mjadala unaoendelea,

na mimi jambo langu ni dogo tu kutaka kufahamu ikiwa ile haki na uhuru wa wanachama wa chadema kutoa maoni yao huru kama umefutwa :pedroP:
 
Angalau Chadema wao wanaishia kulalamika mitandaoni kwa CCM ukitoa maoni wanakupoteza free Polepole.
kwahiyo sasa hivi chadema ukitoa maoni yako huru inaonekana ni msaliti na unapingana na chama right?

mange phobia inaiharibu na kuwaharibu sana chadema aise:pedroP:
 
porojo za nje ya hoja mahususi mezani, kistaarabu zinaandikiwa uzi mahususi jukwaani na iitapendeza zaidi kuliko kujaribu kupindisha au kuhamisha mjadala unaoendelea,

na mimi jambo langu ni dogo tu kutaka kufahamu ikiwa ile haki na uhuru wa wanachama wa chadema kutoa maoni yao huru kama umefutwa :pedroP:
aliufuta mange na maria wanaendesha chma kwa mawazo yao
 
Mkuu wewe ni mfuatiliaji wa mambo kweli?? Umeona wanaharakati wanachosema kuhusu lema?? Labda sasa wewe utakua miongoni mwa wachache wenye akili CHADEMA
Mwanaharakati?? Tabia yake ni utake atakacho vinginevyo atakulipua hata mkitofautiana kwenye speed ya kufika muendako japo lengo ni moja. Hii kitu ndio hufanya hata wao kwa wAo kutoelewana baada ya kupindi flan. Ni rahisi kupenyezewa sumu. Mwanaharakati anamuhukumu Lema kwa kutokufuga rasta, no%! haijakaa sawa. Kwani Heche anafuga? au kuna watu waliona fursa ya kuingiza ajenda zao, na wao kukurupuka.
 
Mimi napata mashaka na CHADEMA na wanaharakati uchwara hapa tu... si ni maoni yake, ana haki ya kusema anachokiamini na kueleza mawazo yake.

Tunapinga nini CCM ilihali wote tabia zetu ni sawa.. kama leo mko hivi siku mkipewa nchi na mna mamlaka si ni muendelezo wa matukio kwa wenye mawazo tofauti??
Hauzuiwi kuwa na maoni yako lkn chama kikitoka na msimamo mmoja lazima uunge mkono na uusimamie vinginevyo utoke, ukibaki na msimamo wako utaonekana mpinzani.
 
Sawa, kwahiyo ndio wakamteka.
nani kamteka? kuhusu watekaji tumuulize dr slaa kauli yake ya mwisho baada ya kuitwa polisi alisema yupo cuba hajalipwa hela za kurudi tz baadae akajirekodi kwa kejeli hapa ni wapi shwaaaaaaaaaaaaaaaa watu wakapita nae
 
Back
Top Bottom