Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,799
Reaction score
63,072
Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.

Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.

Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.

HVFgFSiXgAALwGz.jpg
 
Kauli mbiu kuu ya Chadema ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.

View attachment 3700090
Hivi wewe huwa ni msemaji wa Lema, Chadema au ndiyo vile huna kazi ya kufanya?
 
Katiba ndio ingetuongoza kuzuia hawa watu wabaya wanaoteka na kuua watu , wanaoiba mahela ya nchi kama yao binafsi wanatishia watanganyika wamekua kama vibaka kwenye nchi yao...

Sasa mtu akisema fikra ndio zibadilike na mtu huyo huyo anatuhumiwa kumlengesha mwenzie hilo sasa ni jambo la kufikiria sana..
 
Kauli mbiu kuu ya Chadema ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.

Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.

Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.

View attachment 3700090
Pandikizi la CCM
 
Kitendo cha watu kudai mabadiliko tayari wameshaachana na fikra anazodai zibadilike ndio katiba ije
 
Kauli mbiu kuu ya Chadema ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.

Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.

Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.

View attachment 3700090
chadema si kuna uhuru na haki kwa wanachama na viongozi wake kutoa maoni yao binafsi kadiri wanavyoona mambo yalivyo my friends, ladies and gentlemen?

au kuna mabadiliko kwenye hilo, na uhuru huo sasa ni kwaajili ya watu fulani wachache special tu ndani ya chadema? :pedroP:
 
Chadema nao wana Yuda wao, Nchimbi yuko wapi.
 
Back
Top Bottom