Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,316
- 5,288
Wewe hujamuelewa Lema kiasi cha kupotosha watu mpaka machawa wenza wanakupiga makofi.Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani.
Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema katiba haikuletei chakula mezani.
Kifupi Lema anasema tuendelee na hii hii katiba iliyowapa CCM uhalali wa kuunda serikali haramu, inayowapa CCM kiburi cha kusema majeshi yote ni mali yake. Katiba inayowapa CCM nguvu ya kuingilia mihimili yote, Bunge Mahakama na Serikali. Katiba inayowapa CCM uhalali wa kuingilia mchakato wa uchaguzi na kuiba kura bila kushitakiwa mahakamani.
View attachment 3700090
Lema yupo sawa na CDM, na hiyo falsafa imejikita ndani ya No reform no election. Reform ni pamoja na kubadili fikra.
Viaz nyie ndio mnaofafanya mambo yakwame.