Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

Hauzuiwi kuwa na maoni yako lkn chama kikitoka na msimamo mmoja lazima uunge mkono na uusimamie vinginevyo utoke, ukibaki na msimamo wako utaonekana mpinzani.
Lakini mkuu haya si ndo yanafanyika CCM na tunashinda mitandaoni tukikemea...
 
Niwapumbavutu ndio haqamwelewi MH Lema.

Hoja ya Lema ni kwamba Unaweza ukawa na Katiba Mpya lakini kama huna viongozi wenye kuzingatia Katiba ni kazi Bure.

Hivi kama wewe unaye msulubu Lema jiulize Juzi Mahaka ilitoa Amri kwamba ni marufuku MH Lisu kuzuiwa kuonana na wanasheria wake.


Maana kufanya hivyo ni kuvunja katiba. Je! Maelekezo ya Mahaka ma yamezingatiwa mpaka MH Lisu Anagomea chakula?


Tuache ujinga kwenye ukweli tusimame nao Mimi namuunga mkono MH Lema.

Bila kubadilisha Utawala na kutegemea katiba mpya ndiyo itakua mwarobaini ni kujidanganya kabisa.
Hakuna Kiongozi anayeweza kutokuizingatia Katiba kama hiyo Katiba itakuwa inamlazimisha Kiongozi kuizingatia Katiba !
Sio ile itakavyokuwa inamuomba tu au inamshauri tu aizingatie 🤣🤣 !
Inatakiwa ile inayowalazimisha waizingatie 😳 !
Kama hakunaga Katiba inayowalazimisha Viongozi kuizingatia Katiba basi Lema yupo sahihi !
 
Lakini mkuu haya si ndo yanafanyika CCM na tunashinda mitandaoni tukikemea...
Chadema ukitofautia na chama unahama kama kina Zitto, Jon Mrema nk. CCM ukitofautiana na chama unatekwa au unauawa mf. Kolimba RIP, Nchimbi, Polepole nk.
 
HUYO ANGEKUWA CCM ANGEKUWA AMESHA VULIWA UANACHAMA NA PIA KUTIMULIWA KAMA MBWA..KWAVILE CHADEMA NI CHAMA CHA WAOMBOLEZAJI NDO MAANA MPAKA SASA YUPO..CHADEMA NA CCM WOTE NI KIBOKO YA WACHAWI MGANGA KONKI KUTOKA SUMBAWANGA.
 
Niwapumbavutu ndio haqamwelewi MH Lema.

Hoja ya Lema ni kwamba Unaweza ukawa na Katiba Mpya lakini kama huna viongozi wenye kuzingatia Katiba ni kazi Bure.

Hivi kama wewe unaye msulubu Lema jiulize Juzi Mahaka ilitoa Amri kwamba ni marufuku MH Lisu kuzuiwa kuonana na wanasheria wake.


Maana kufanya hivyo ni kuvunja katiba. Je! Maelekezo ya Mahaka ma yamezingatiwa mpaka MH Lisu Anagomea chakula?


Tuache ujinga kwenye ukweli tusimame nao Mimi namuunga mkono MH Lema.

Bila kubadilisha Utawala na kutegemea katiba mpya ndiyo itakua mwarobaini ni kujidanganya kabisa.
Duh! kuna kazi, unadhani uhuru wa mahakama unaouzungumzia unawekwa na nani kama sio katiba bora.
 
Huyu jamaa ndio alikuwa anatabiri mpk vifo vya watu, jamii ikamuona kama mtume Fulani hivi.
 
Chadema ukitofautia na chama unahama kama kina Zitto, Jon Mrema nk. CCM ukitofautiana na chama unatekwa au unauawa mf. Kolimba RIP, Nchimbi, Polepole nk.
Nchimbi kauwawa lini na nani?? Unaushahidi wa polepole kuuwawa, je kolimba sababu ilikua nini?? Je ni kweli unahama?? Hawapo wamefukuzwa kwa kutoutiana na chama, Lema kwa sasa preassure ni nini??
 
Kila siku Lema... Lema....

Naunga mkono kauli ya Lema anyway.

Katiba Mpya bila mabadiliko ya kifikra ni ujinga mtupu. Kila siku kushinda JF kusubiri Katiba Mpya ije kuwaondoa CCM ni upuuzi wa kifikra, na huu naamini ndio Lema anaouzungumzia.

Mmekaa mnafikiria hiyo Katiba Mpya ikija itawaletea kila kitu mkiwa mmelala ndani. Lazima muwe na bongo za kuchambua kile wengine wanachosema, mkichambua kijinga mtaondoka na maana za kijinga tu.

Katiba Mpya bila mabadiliko ya kifikra haina maana, tutarudi hapa hapa tulipo wakianza kukandamiza haki mtakimbilia JF kulalamika badala ya kwenda mtaani.
 
Unajua wanaoiendesha CCM? wewe endelea kushikilia mapembe tu huku wenzako wakikamua maziwa.
hebu uandikie uzi mahususi jukwaani tuone wadau wa Jf wanasema, nadhani itapendeza zaidi.

but kuhusu hoja iliyoko mezani vip,
Uhuru wa kutoa maoni chadema umefutwa nini?🐒
 
Back
Top Bottom