Le Mutuz ulingoni

UVCCM taifa ina mwakilishi wa wazazi? Nilikuwa sijui. Mie UVCCM, Wazazi, UWT ndoo jumuia za chama. Huu mwingiliano wa nafasi anayoomba Lemtuz ndoo nimeuona kwenye bango lake sasa hivi. Duh watu wanajua wagombee wapi ndani ya gamba
 
ameshindwa kusema The Engineer of ships

Haha ha ha . Umenikumbusha yule Waziri wa Elimu eti Tanzania was found one 1964... after fu... fu .....ck%%% ing between the Pemba Island and Zimbabwe Island in the Indian SEA...
 
"The United republic of Tanzania is
geographically located in East
Africa,Tanzania was formed in 11964 by unifying the Indian Ocean Islands of Zimbabwe and Pemba and the Mainland
Country formerly known as Tanganyika.
 
For One to be Engineer, He/She should posses at least A Degree or Advanced Diploma in Engineering.

Je, Le Mutuz ana posses Advanced Diploma au ni Ordinary Diploma? Naomba tuanzie hapo kwanza ili tusijekuta tunampa "title" isiyomstahili.
 
ccm bwana?ukichangany hotuba ya mulugo ukirudi kwa lusinde na ukimalizia kwa kijanamzee le mutuz unachoka kabisa.
 
Hivi fundi mchudo kwa kimombo anaitwaje?
For One to be Engineer, He/She should posses at least A Degree or Advanced Diploma in Engineering.

Je, Le Mutuz ana posses Advanced Diploma au ni Ordinary Diploma? Naomba tuanzie hapo kwanza ili tusijekuta tunampa "title" isiyomstahili.
 
UVCCM taifa ina mwakilishi wa wazazi? Nilikuwa sijui. Mie UVCCM, Wazazi, UWT ndoo jumuia za chama. Huu mwingiliano wa nafasi anayoomba Lemtuz ndoo nimeuona kwenye bango lake sasa hivi. Duh watu wanajua wagombee wapi ndani ya gamba

Hii ipo mkuu kwenye Jumuia zote za hicho chama, Mkuu.
 
jaman le mutuz na mashaka ulikuwa na hisia tofaut na hako kamiss tz,ndo nini kumvutia hisia mtoto wa lundenga kiasi hichi?
 
32348_4820843478200_1475254971_n.jpg
Kwa hiyo anataka kutuambia amebobea kwenye fani ipi? Diploma fani nyingine, bachelor fani nyingine, uzamili fani nyingine mbona haeleweki.
Huyu ni msanii tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom