Le Mutuz ulingoni

... Walioangukia pua katika uchaguzi huo ni mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, mbunge wa Nkenge, Assumpter Mshama, Otieno Peter Baraka, Twalhata Ally Kakurwa, Godwin Kunambi, Innocent Nsena na Richard Tambwe.

Wamo pia Anna Magowa, Christopher Mullemwah, Salehe Mhando, Fadhili Nkurlu, Tumsifu Mwasamale, William Malecela, Rashid Kakozi, Luteni Kanali, Dk. Kesi Mtambo, Nicholaus Haule na Nussura Nzowa.
 
Hii pua ya LE MUTUZ itakuwa na makovu sana sasa........kaangukia pua katika kila analojaribu
 
William mbulula wa kizazi cha zamani, hana hiyo elimu, hajawahi kukaa darasani labda kama alisoma ile elimu ya Bwana Lyatonga miezi sita Shahada ya Kwanza, hahahaaaaah huyu hajiwezi , hawezi na wala hana ufahamu wa kutosha hata kuongoza watoto wa chekechea namaana kuwa IQ

Very low APGAR score, abt 2-4.
Kama hujaielewa potezea
 
le mutuz ana miaka 51 wema ana miaka 23,.51-23=28
wema kwa le mutuz ni sawa na baba na mwana
this man needs to retire from all this bullsh*t

Mbona ye mwenyewe anajiita mtoto?au amesha acha kula na kulala kwa shikamoo.
 
Huyu dogo tunamhitaji M4C hata kama atakuwa Mamluki kama Shibuda....lakini walau mwezi mmoja.... Elimu yake ya kipolisi itasaidia.... Si alikuwa Marekani..karudi lini???? Karibu sana William najua upo jamvini...Usimuige baba yako...CCM imezeeka hiyo ni baba na si ya mwana...soma alama za nyakati.... Slogan yako iweke hivi" Uchungu wa mzazi aujua mwana"
 
hii elimu yake ya USA hiii......anyways nadhani tulishajadili sana humu hii makitu

Msiri wangu mwaJ hebu come zis way
 
Last edited by a moderator:
Sasa uchungu wa mwana umetoka wapi? Hizi slogans zingine bana........najua atajitetea kuwa ni kwa sababu anaomba uwakilishi wa WAZAZI lakini hii slogan in maana ndefu sana

hata mimi kanishangza mkuu! tena hiyo niyawanawake!
 
hii elimu yake ya USA hiii......anyways nadhani tulishajadili sana humu hii makitu

Msiri wangu mwaJ hebu come zis way
I'm here msiri wangu Kaizer. Hebu niambie mbona kama hiyo elimu inakutatanisha? Lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom