Le Mutuz ulingoni

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
32348_4820843478200_1475254971_n.jpg
 
Kwanza ameshindwa hata kupangilia mtiririko wa elimu yake hapo kwenye hiyo kadi.Ameanza na digrii ya kwanza kisha akaweka digrii ya pili na akamalizia na diploma.Na mbona vyote alivyosoma havina uhusiano na anachokiwania?Ningeshauri atusaidia kwenye uangalizi wa meli hapa kwetu Bongo kwa hiyo Diploma yake.
 
Sasa uchungu wa mwana umetoka wapi? Hizi slogans zingine bana........najua atajitetea kuwa ni kwa sababu anaomba uwakilishi wa WAZAZI lakini hii slogan in maana ndefu sana
hivi huyu babu ni mgumba?
Mbona kwenye facebook page yake hajaweka picha za wanawe??
 
Kwisha hbr yakee! Kupata mtoto ni suala jingine kwahiyo usishangae ktk facebook hajaweka vijana .
 
Kwanza ameshindwa hata kupangilia mtiririko wa elimu yake hapo kwenye hiyo kadi.Ameanza na digrii ya kwanza kisha akaweka digrii ya pili na akamalizia na diploma.Na mbona vyote alivyosoma havina uhusiano na anachokiwania?Ningeshauri atusaidia kwenye uangalizi wa meli hapa kwetu Bongo kwa hiyo Diploma yake.

Hana msaada wowote angalia alikosoma na masomo aliyosoma
utagundua alikua ANABUTUA ili ajiokoe tuuu!
Kama kichwani yuko safi asingekimbizana na hizi siasa uchwara!!!:cheer2:
 
Diploma Engineer wa meli hapo tu ndo nimeipenda inaonekana amekosa kingereza chake manake kote kaeleza kwa kingereza
 
Uchungu wa Mwana Aujua Mzazi! Wazazi kaeni mkao wa kula kwa kwakumpa jamaa kula!

william john 086.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom