Sasa uchungu wa mwana umetoka wapi? Hizi slogans zingine bana........najua atajitetea
ameshindwa kusema The Engineer of ships
Uchungu wa Mwana Aujua Mzazi! Wazazi kaeni mkao wa kula kwa kwakumpa jamaa kula!
View attachment 69163
Huyu binti hayuko comfortable kabisa,
Atafutae hachoki,akichoka keshapata.Eti uchungu wa mwana mbona kawaacha wanae newyork?
sio baba, ni tineja huyoanahangaika kweli huyu baba
Karembua mijichoHuyu binti hayuko comfortable kabisa,
Jamani Le kibonge @ kinyerezi analazimisha kubambia katoto.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Teh tehe tehe kwiki kwikiiii!Uchungu wa Mwana Aujua Mzazi! Wazazi kaeni mkao wa kula kwa kwakumpa jamaa kula!
View attachment 69163
sio baba, ni tineja huyo