lazima utakuwa hujalala kwenu

mimi kwetu niliacha kulala siku nyingi sana bora usema hujalala kwako au kwenu!!!
 
Hivi visabuni vina harufu ya kipekee sana na ni very common kwenye guest house,kuna dingi alivipeleka home kwake wife wake akamtoa navyo mbio,ukiogea harufu yake haiishi haraka

mmh unafanya kazi Gesti hauzi?
Kama umemsoma vizuri Baba V utajua kuwa mke wa huyo mdingi ndo mtaalam...... Alijuaje?

Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kuwafumbulieni mafumbo.
 
Last edited by a moderator:
najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?

522483_457572274278552_1030736840_n.jpg
tulivyokuwa wadogo mzee alishatuletea,kila mtu na yake,maana tulikuwa tunasahau sabuni ndani ya maji inayeyuka..ila ilikuwa brand nyingine imechorwa pundamilia....zilituadabisha kweli
 
Kisabuni cha guest house. Mimki nikisafiri kikazi hasa mkoa lazima nirudi natwo home ili wajue nilikuwa safari. Dunia imeisha, ukotoa harufu ya haka kasabuni jioni umetoka kazini lazima uulizwe maana makazini hakuna sabuni za hivyo.
 
Back
Top Bottom