MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?
![]()
Hili swali labda hajieleweka. Sio mnakurupuka tu kujibu. Soma mazingira ya swali. Angalia clues, then jibu swali.
najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?
![]()
Ha ha ha!
Hakana uluxury wowote hko kasabuni.
Ukitka kujulikana umetoka kuleee na samsing, ogea hako na umejishitaki kwa mamsap.
mmmh sizipendi
Yaani ukiingia tu chumba cha guest unakaribishwa na harufu ya hivi visabuni!! Dah! Harufu yake inachosha saana!
Wazinzi wengine wako huku..
we acha tu,wa chitchat inaelekea kwa mambo haya wamo kweli kweli ,kasoro bishanga of course.
Kweli kabisa, Bishanga haumo. Ni sawa na paka kutokuwemo kwenye kula panya au kunywa maziwa!
Sisimko guest housenajua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?
![]()