lazima utakuwa hujalala kwenu

lazima utakuwa hujalala kwenu

UncleJoe

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
624
Reaction score
509
najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?

522483_457572274278552_1030736840_n.jpg
 
najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?

522483_457572274278552_1030736840_n.jpg

Nyumbani kwangu, kwani kuna sheria inayotaka zitumike hotelini/guest houses tu? Mbona hata kwenye nyumba za watu kuna guest wing?
 
Yaani ukiingia tu chumba cha guest unakaribishwa na harufu ya hivi visabuni!! Dah! Harufu yake inachosha saana!
 
Waheshimiwa!! hivi mnavyokwenda kwenye hizo nyumba za wageni wenyeji huwa mnaandika majina yenu na shughuli zenu halisi, nauliza tu si mnajua leo mapumziko.
 
Back
Top Bottom