Amani iwe nanyi.
Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu.
Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments, body scrub) nimejifunza na kufanya hii kazi Zanzibar. Kule tumeifanya hii kazi in a very professional way, kiasi kwamba uko comfortable nayo.
Okay, kwa wakazi wa Zanzibar nadhani watakuwa wanajua kuna kipindi ni low season so hakuna kazi kiviile. Nikasema nikapoe DSM kwanza. Katika kupitia mtandaoni nikaona spa moja DSM inataka mfanya massage, nikawachek kwamba nahitaji. Swali la kwanza TUMA PICHA nikatuma.
Kisha ndo wakauliza kama najua kufanya au nikajifunze (kwenye tangazo walisema kama unapenda na hujui tunakufundisha) nikasema najua. Wakasema njoo uanze kazi. Nikaulizia malipo yakoje wakasema ni kwa commission (nikaona duh! Ila fresh) wakasema inatakiwa uishi huku huku. Kipengele tena, ndo nikapitia page yao IG nikaona kumbe huduma ni 24/7 (nkasema tuu fresh). Kanipa address nikafika (siku ile ile just imagine ).
Kwanza nikapewa t-shirt ya ofisi ambapo ni sare tunayotakiwa kuivaa kuanzia asubuhi mpaka saa kumi jioni. Chini unavaa black tyt (sikuwa nayo nikawa navaa black jeans).
Kuanzia hiyo saa kumi sasa mnaoga mnachange mavazi (hii ilikuwa ngumu kwangu coz sikuwa na nguo type zile). Nkapewa nguo moja nkaivaa kwa siku ile (dah! ni huzuni).
Shida moja kubwa sana ni ile mteja anawachagua kama mandazi dah! Why this? Si unataka massage? Why uchague chague aah.. hii kazi nimeifanya kwa wiki moja(siku saba kamili) tu huku aisee siyawezi. Nitawaeleza niliyokutana nayo huko ndani.

- Kwanza staff wote tuna uniform tumeshonewa na ofisi (sio nguo ya kubana wala kukuacha wazi mwili wako na unakuwa comfortable kufanya kazi ukiwa umeivaa).
- Pili kuna muda wa kwenda kazini na kutoka, 8hrs of working + mapumziko ya siku moja kwa wiki.
- Tatu, hufanyi kazi nje na treatments (mf. Kufua labda shuka na towels zilizotumika during treatment)
- Nne, wanaangalia ufanyaji wako wa kazi aise, sio muonekano.