hahahani kama zile 3 lazima unukie ndizi, choclate au strawbery..... Kuleteana kesi tu!!!!
Nimeogea sana hizo wakuu,
uliitumia wapi ummy? wenzio wanasema gesti na weye?
Hivi visabuni vina harufu ya kipekee sana na ni very common kwenye guest house,kuna dingi alivipeleka home kwake wife wake akamtoa navyo mbio,ukiogea harufu yake haiishi haraka
Kama umemsoma vizuri Baba V utajua kuwa mke wa huyo mdingi ndo mtaalam...... Alijuaje?mmh unafanya kazi Gesti hauzi?
kwani jamaa kasema umeogea gesti? we umejishtukia, jamaa kauliza tuuu
tulivyokuwa wadogo mzee alishatuletea,kila mtu na yake,maana tulikuwa tunasahau sabuni ndani ya maji inayeyuka..ila ilikuwa brand nyingine imechorwa pundamilia....zilituadabisha kwelinajua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?
Nimeitumia huko ulikoipata wewe..............!najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?
hizi sabuni za guest
Aisee sijawahi kabisa...
Mmmh ....mkuu usitoe mapovu, wengine hatufiki sehemu hizo.Nyie ndo mnaoondokaga tu hivo hivo kisa unasema utaenda kuoga kwenu.mhhh