najua ushaitumia hii, tena sio kwenu, haya niambie umeitumia ukiwa wapi vileeeee?

Hivi visabuni vina harufu ya kipekee sana na ni very common kwenye guest house,kuna dingi alivipeleka home kwake wife wake akamtoa navyo mbio,ukiogea harufu yake haiishi haraka
kwa siku hizi ni mgeni mpya kutoka naye siku hiyo, watu wanabadilisha kama nguo bhana...............Ha ha ha!!! Nyumba za kulala wageni ambao ni 'wenyeji'
Nyumbani kwangu, kwani kuna sheria inayotaka zitumike hotelini/guest houses tu? Mbona hata kwenye nyumba za watu kuna guest wing?
Hivi visabuni vina harufu ya kipekee sana na ni very common kwenye guest house,kuna dingi alivipeleka home kwake wife wake akamtoa navyo mbio,ukiogea harufu yake haiishi haraka
hicho si ni kisabuni cha guest house bubu