Lawrence Masha na private DATA zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawrence Masha na private DATA zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 5, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  well...its December na hili zoezi la kukusanya data za watu kupitia namba za simu linanifanya nijisikie un ease kwa sababu serikali yetu haiwezi kuaminiwa kwa not only data zaetu lakini ni serikali ambayo imejaa LEAKS kama vile french cheese na mifano ni jinsi private numbers za Rais zilivyotapakaa left and right hapo bado sijazungumzia wizara nyeti kama ulinzi walivyo lax kwenye data protection.  From personal experience I feel very uncomfortable kwa Kampuni ya kizembe kama ZANTEL kuwa na uwezo wa kukeep private data zangu bila kupoteza. The fact is that any major project initiated by the civil service is doomed to failure because they almost never conduct the due diligence that would be essential in the private sector. I mean Can i really trust mtu kama waziri wetu wa mambo ya ndani au sheria kutuliza wasi wasi wangu juu ya haya mambo kukusanywa kwa taarifa zangu? Hell no!  Kibaya zaidi ni kuwa wizara husika ni ile wizara ya bwana LAU ambaye kwa sababu anazozijua yeye na maswahiba zake wameamua kukaa kimya kuhusu hili bila kutuambia namna gani hizi data zitakavyotunzwa na nani na zitakuwa chini ya idara gani na zitakuwa regulated na nani na hawa jamaa wakipoteza hizi data watawajibishwa vipi
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  The question you should be asking is can we really trust Kikwete's government for collection of peoples data? Masha is part of the whole thread, no?
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=ZZhT97UXRdE[/ame]
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Lau anaweza kwenda Rose Garden na laptop isiyo na encryption yenye private data za watanzania wote ikapotea bila maelezo.

  Kwa nini watu wasi boycott tu?
   
 5. T

  Tujisenti JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  So far wanasema only million 3 out of 13 wamesajili simu sioni kama exercise hii itafanikiwa.Hivi kweli watafika huko mbugani kusajili simu??Ili iweje wakisajili?????
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Zoezi bado linaendelea, na ni hapo watakapokatiwa mawasiliano ndipo wataona umuhimu wa kusajili, na utashangaa kuona flow ya watu kwa waandikishaji..

  Kuhusu protection ya data, idont see any threat emanating from this!

  Kampuni kama kampuni inatunza data, lakini the copy is sent to Mr Lau(as you name him), na wizara ya Mawasiliano, so ishu ya kupoteza in its name inajiondoa naturally.

  Kuhusu usalama wa data, why worry?...What queer business do you do to suspect mishandle of your very few data that you reveal at registration?

  Dont be unnecessarily sceptic fellas, lets make an exercise a success in the name of our own security!!
   
 7. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #7
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Do you really have a choice?
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,308
  Trophy Points: 280
  GT, huu ni usajili wa sim card kama wafanyavyo Wamarekani na Zip code zao, hata nchi kama India na population yake, huwezi kwenda kujinunulia sim card bila kusajiliwa, lengo is identification only, nothing more, nothing less, hii itafanya hata emergency number kutumika genuinely
   
 9. C

  Chuma JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hili zoezi la Jazba..hakuna study iliyofanyika ya Maana.

  Wenzetu wanafanya kwanza kuboresha miundombinu muhim kama passport au ID(ID kwasasa haina maana nchini Tanzania)....

  Ujenzi wa nyumba za Holela...!! Leo hii bado ukihama kuhamia mkoa mwingine bado unaweza ukawa una data mpya.

  Leo tuna mitandao zaid 5, Tigo,Zantel,TTCL,Voda, Zain etc, hawa wamejiwekea taratibu zao usipotumia line kwa miezi 6 au mwaka hio line inakuwa blocked...kwa utaribu huu kila mara itabidi ujisajili.

  So far sioni sababu ya kufanya hili zoezi liwe over night. Liwe zoezi la miaka 2-3 au hata 5, kama walivyofanya ktk zoezi la kubadili passport 10yrs.

  Sioni pia umuhim kama TCRA watawalazimisha Telcom providers...wawablock users untill wajisajili..hii italeta financial crisis kwa makampuni husika. What if users laki 1 au 2 wasitumie mtandao in a day...?
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jambo likiwa chini ya huyu Kijana Masha ..kwangu mie haliniingii kichwani
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Dec 5, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hizi data kama hawatazitengenezea database kwenye computer zitapotea kama mafaili yanayopotea mara kwa mara kwenye ofisi za serikali! Sasa kama data zikipotea watarudi tena kwenye makampuni tena kupewa data? Suala la utunzaji wa data liwekwe wazi kwa kweli!
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2009
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hivi munazifanya hizo kampuni ni za kishamba kiasi ya kuwa hawafahamu kuweka data kwenye database? Jamani acheni hizo.

  Na wewe GT kwa nini umeishupalia Zantel kuwa ya kizembe au umetumwa na hizo kampuni nyengine?
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Please bluray, have a little bit of respect!!! nakubaliana na wewe kwamba kuna some issues to be addressed kwenye whole system accountability but this one is way below the belt. Unless una-refer UK ambapo private data zinaokotwa kwenye tubes!!! our databases are still centralised na Masha hajafikia upuzi huo wa kutembea na madudu yale

  Kuhusu boycotting.... just one question!!! waboycott walio nje au tulio ndani ya Tz?
   
 14. M

  Mpingo1 Member

  #14
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sioni tatizo lolote la kusajili sim card kwa mtanzania yeyote ambaye anatumia simu yake kwa mambo genuine. kwa mtu yeyote aliye kwenye hii industry anashangaa kwa nini imechukua muda mrefu kufanya hivyo.

  Nitoe mfano mdogo. Huduma kama za 111, 112 (Polisi) na 113 (TAKUKURU) ni za muhimu sana kwa jamii kutokana na matukio mbalimbali yanayojitokeza mara kwa mara. Tanzania kwa kiasi kikubwa huduma hizo zimekufa kutokana na zaidi ya 90% wanaopiga wanafanya hivyo kuwatukana watu wanaotakiwa kuwahudumia. Watu wamefikia mahali kufuatilia ratiba kujua nani atakuwapo kwenye zamu ili 'ampashe' kwa kutumia namba ya simu isiyojulikana ya nani. Matokeo yake, leo hii ukitembelea vituo vya polisi utakuta receivers za 111, na 112 zimewekwa pembeni kuepuka usumbufu. Watanzania tunaishia kuwalaumu polisi kuwa ni wazembe........

  Hakuna mtu atakuwa na muda wa kuingilia mawasiliano ya mtu mmoja mmoja kwenye customer base ya watu 15m, isipokuwa wale wanaotaka kutumia idadi hiyo kama kichaka cha kufanyia uhalifu.
   
 15. m

  mnozya JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mimi nina laini tatu nilizinunua UK bila kuzisajili, Pia nilinunua lain South Africa bila kuisajiri. HAPO UNASEMAJE?
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi hili zoezi linalazimisha watu au ni hiyari?

  Maana tunajua Tanzania hata ukitaka kuforwardiwa sms message za mtu unaweza, sasa wanataka kumaliz kabisa the last bastion of privacy sio?
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  UK na south africa sio tanzania... hongera kwa kusafiri
   
 18. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145


  Kama watu wanapinga hilo sio vyema kila Rai anapaswa kusajili simu yake na huo ndio mwanzo, Ila shaka langu ni kwamba Hatuto kuja kusajiri tena Serial NO za simu zetu???

  Kwanini nauliza hivi ni kuhusu swala la wizi wa simu hautopungua pia twahitaji pia kukomesha wizi wa simu,

  Pili system zetu zike na recent Technology ya ku track uhalifu wowote utakao fanyika au unaotaka kufanyika??? eg tuonavyo CSI's series,

  Je police wetu wako na vitendea kazi vya kufuatilia hayo matukio yatakayo tokea? Je Law Enforcement Zimetungwa za kuwashitaki wahalifu? wasije patikana wakashindwa kuwashitaki maana hizi sheria bwana wakifika mahakamani watu wanakuja na vifungu vyao wanatolewa kwa mdhamana.

  Twahitaji kujipanga sana tuingiapo kwa hizi technology

   
 19. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wewe akikusikia? sema kimya kimya
   
 20. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nia inaweza kuwa nzuri lakini tuna resources na taaluma ya kuhakikisha hizi data hazi tumiki vibaya na wajanja wachache? Nadhani ndiyo concern kubwa iliyopo.
   
Loading...