Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar

Mkuu unashindwa kunielewa kwa sababu pamoja na disseminations zako zilizoenda shule, biashara kitu ingine kabisa, na kama unafanya biashara na una leseni basi you might get some insight as to what I am talking about.

Unamaanisha nini unaposema "disseminations zako zilizoenda shule"?
 
leo nimemsikia aliepata kuwa waziri wa mambo ya ndani lawrence masha akihojiwa na eatv akasema anafanya kazi ya kukusanya/kusomba taka toka ktk makazi ya watu, alikana kuwa alikuwa anafanyia kazi zake rose garden ila alikubali kuna wakati alikuwa anashinda pale na akasema alikuwa anaenda pale na chupa yake ya chai anakaa hadi usiku mnene.
Lakini pia kuna tetesi toka mwanza kuwa alikuwa akienda club anasindikizwa na defender mbili za polisi na zinalinda club mpaka atakapoondoka, bado ana ndoto za kutumikia umma kama watu watamuomba.

My take: Sikio la kufa...

nimekufanya nini mpaka unihusishe na masha?
 
Hizo taka zinakusanywa kwa lengo moja tu! Kujenga kinu cha kuzalisha umeme. uMasha ana mradi wa "solid waste to electricity". Kwa kuwa ataweka kinu cha kuzalisha taka kwa kutumia Biogas, inabidi kwanza akusanye taka nyingi ambazo zitaweza kuwa kianzio cha kuzalisha gesi (Methane) ya kutosha, ambayo ndiyo haswa Biogas. Sisi tunatupa taka. Wenzetu huko Ulaya wana-recycle KILA KITU! KALAGHABAHO!
 
You guys have failed to understand Lau... he is a great success businesswise

Kampuni yake ni kubwa, bado ni lawyer (sio ganga njaa), na majibu aliokua akitoa kama ulimsikiliza vyema alikua anakebehi wauliza maswali zaidi ya kuweka vitu wazi

Ati anatoka na chupa ya chai home kwenda kushinda rose garden hadi usiku mnene!!

He is way too ahead of the game

kazi kwenu

Huyu jamaa asiwazingue ni mwizi mzoefu toka akiwa pale kampuni ya gesi TOL na sasa alitaka kutuibia na mabwana zake kupitia mradi wa vitambulisho lakini wenzie wakamstukia!!
 
Bulesi unamjua huyu bwana tangu akiwa "Company Secretary/ General Counsel" pale na bwana Malima kumbe?

Mi nashangaa watu wanadandia hadithi kwa kumjua Masha baada ya uwaziri!
 
Political game is like mission and vision if ur willing to come u must know there are to loss point na utaumia milele, basi masha muda wa kuwa flexible kwenye jamii iliyomzunguka ni sasa
 
Halisikii dawa.
Leo nimemsikia aliepata kuwa waziri wa Mambo ya ndani Lawrence Masha akihojiwa na EATV akasema anafanya kazi ya kukusanya/kusomba taka toka ktk makazi ya watu, alikana kuwa alikuwa anafanyia kazi zake ROSE GARDEN ila alikubali kuna wakati alikuwa anashinda pale na akasema alikuwa anaenda pale na chupa yake ya chai anakaa hadi usiku mnene.
Lakini pia kuna tetesi toka Mwanza kuwa alikuwa akienda club anasindikizwa na Defender mbili za polisi na zinalinda club mpaka atakapoondoka, bado ana ndoto za kutumikia umma kama watu watamuomba.

My take: Sikio la kufa...
 
Huyu jamaa asiwazingue ni mwizi mzoefu toka akiwa pale kampuni ya gesi TOL na sasa alitaka kutuibia na mabwana zake kupitia mradi wa vitambulisho lakini wenzie wakamstukia!!

at least wewe unasema aliiba wapi, maana wengi humu walishindwa kusema walibakia mwizi, mwizi
 
Bulesi unamjua huyu bwana tangu akiwa "Company Secretary/ General Counsel" pale na bwana Malima kumbe?

Mi nashangaa watu wanadandia hadithi kwa kumjua Masha baada ya uwaziri!
kwahiyo akiwa company secretary anakua mwizi??
 
1. Naelewa biashara kitu kingine kabisa, na hata nchi zilizoendelea ambako watu wana rule of law, educated populations, higher transparency, dedicated watchdogs, the works, bado wafanyabiashara wanafanya milungula.
2. Ukweli huu hapo juu haumaanishi tukae kimya kama hatuna hata the most basic of scrutiny.

Yaani hapa basically kinachotokea ni kwamba, kuna uwezekano wizi -impropriety of sorts- umetokea katika deal hili. Hapohapo watu wanamsifu Masha kwamba ni mfano wa kuigwa. Mtu anakuja anataka habari zaidi kuhakiki kwamba hakuna wizi, wewe unachosema ni "wewe acha tu, huku uswahilini ni sehemu tofauti kabisa hamna sheria wala utaratibu"

Hii ndiyo attitude ya kututoa katika umasikini kweli?

Mkuu nimesema wewe ni msomi, you are looking at Masha's business at an elitists point of view. And tohat is where you go wrong, wrong in analysis and equally wrong in conclusion.
Nampongeza Masha for having a thick skin, he wont go down as some politicians.
Kwamba ameamua kufanya biashara, tena wengine wanayoiita chafu, that needs guts.

Hata kama umetembelea nchi nyingine , mkuu hii ni Tanzania, Tanganyika to be exact.
In business, Tanzania is no mans land, from the business itself and to all its regulatory aspects.
Thats why I say, biashara kitu ingine hapa bongo, dont compare it to any country that you have been to.

I might also remind you that doing business in any country, apart from the laws that you seem to lovingly adhere to, is a legal way of looting from the people.
The faster you get acquinted to this fact , the better you will get accustomed to it.
 
Unamaanisha nini unaposema "disseminations zako zilizoenda shule"?
Mkuu, business yoyote ina madhumuni makuu ya kupata faida, na si vinginevyo.
Kama mtu anaingia business so as to serve basi huyo ni civil servant and he/she should not br in business.

Sasa unaniuliza juu ya "disseminations zilizoenda shule".
Disseminations nyingine situ zinaonekana naive lakini vile vile ziko too academic to fit into the real Bongo world.
When analysing Mashas business watu wanafanya kosa kufikiri kuwa Masha is a civil servant, na ndio maana nilisema biashara kitu ingine, the motivating factor is profit first ans satisfaction later.

Sasa mtu ukianalyse business as if we are living in an Utopian society you end up looking funny.
Who follows the rules anyway?
The people do not follows good business practice, the Government does not do that either!

Na ndio maana nasema disseminate facts as much as you can , but business kitu ingine bana.
 
Hmmmm...unajua maana ya dissemination? Au wewe unamaanisha dissection?

dissect something: to study something closely and/or discuss it in great detail

disseminate something (formal) to spread information, knowledge, etc. so that it reaches many people

Source
 
Ahsante kwa kuthibitisha bila shaka niliyoyasema hapo awali.

Wewe usha give up, unaona wachilia mbali kufanya vitu on the ground, hata kuulizia mambo hapa JF kubadili fikra tu- fikra, mwanzo wa yote- hakuna maana.

Umethibitisha nilichosema awali.

Yaani hapa basically kinachotokea ni kwamba, kuna uwezekano wizi -impropriety of sorts- umetokea katika deal hili. Hapohapo watu wanamsifu Masha kwamba ni mfano wa kuigwa. Mtu anakuja anataka habari zaidi kuhakiki kwamba hakuna wizi, wewe unachosema ni "wewe acha tu, huku uswahilini ni sehemu tofauti kabisa hamna sheria wala utaratibu"

Hii ndiyo attitude ya kututoa katika umasikini kweli?
 
nILIONA ZEKOMEDI WANAIGIZA...ILA SIKUELEWA NI NINI, SASA HIVI NIMEPATA PICHA...OK
 
Hmmmm...unajua maana ya dissemination? Au wewe unamaanisha dissection?

dissect something: to study something closely and/or discuss it in great detail

disseminate something (formal) to spread information, knowledge, etc. so that it reaches many people

Source
Mkuu nimeweka maana ya dissemination ili tuwe pamoja.
 
Back
Top Bottom