MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Unatisha Mkuu! Ili kulinda Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea na kupata ajira kwa wingi, tuendelee kulima kwa jembe la mkono, tukate majani kwa panga, tuzoe taka kwa toroli, tuchote maji kwa mzegazega.....Mashirika ya Jiji ni Labor intensive ili ipatie Ajira wengi kuondoa Unemployment, hapo ndio tuna capitalize kila kitu
Kama Chuo Kikuu, eneo lote hilo la Mjani watu walikuwa wanafyeka na mafyekeo sasa wakiprivatize ni watu 4 wanalimaliza eneo hilo kuwa na matrekta ya kukata Majani na Wafanyakazi Wafyekaji 200 kazi hakuna
Hapo Mmeua na kumaliza Siasa ya Ujamaa na kujitegemea; Mjue wapi kwa kupeleka watu wa Elimu ndogo Msichekelee
"Pesa ni matokeo, si msingi wa maendeleo." [Nyerere]
"Msongamano wa magari (mabovu) ni kiashiria cha maendeleo" [JK]
"Ukosefu wa maji ya bomba umetoa ajira nyingi kwa vijana wetu" [Karume mwana]
Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.