Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Mkuu nimeweka maana ya dissemination ili tuwe pamoja.
Hayan bana.....
Mkuu nimeweka maana ya dissemination ili tuwe pamoja.
Business seldom embraces abrupt changes.Ahsante kwa kuthibitisha bila shaka niliyoyasema hapo awali.
Wewe usha give up, unaona wachilia mbali kufanya vitu on the ground, hata kuulizia mambo hapa JF kubadili fikra tu- fikra, mwanzo wa yote- hakuna maana.
Umethibitisha nilichosema awali.
Leo nimemsikia aliepata kuwa waziri wa Mambo ya ndani Lawrence Masha akihojiwa na EATV akasema anafanya kazi ya kukusanya/kusomba taka toka ktk makazi ya watu, alikana kuwa alikuwa anafanyia kazi zake ROSE GARDEN ila alikubali kuna wakati alikuwa anashinda pale na akasema alikuwa anaenda pale na chupa yake ya chai anakaa hadi usiku mnene.
Lakini pia kuna tetesi toka Mwanza kuwa alikuwa akienda club anasindikizwa na Defender mbili za polisi na zinalinda club mpaka atakapoondoka, bado ana ndoto za kutumikia umma kama watu watamuomba.
My take: Sikio la kufa...
Business seldom embraces abrupt changes.
It thrives on hard proven facts and practice.
Fanya mabadil yasiyoeleweka na utapata capital flight , that is for sure.
Pesa haipendi kupotea katika majaribio ya fikra.
I am not sure if we are in the same wave length!Mazungumzo yanayolenga kubadili fikra za kusifia sifia vitu bila kuvielewa vizuri hapa JF ni abrupt changes?
If that is your idea of abrupt changes, sijui gradual change itakuwaje!
kama huna akili ya kutosha kumkamata mwizi, wewe vuta shuka ulale na uridhike kuibiwa.Mradi aliobuni Masha ni mradi wa kupigiwa mfano, lakini ni ngumu kwa mtu kama mimi kumpongeza mwizi, ni sawa na Rostam Aziz ni mfanyabiashara mwenye mafanikio lakini ameshiri kuiba pesa nyingi za umma, na hapo ndipo anapopoteza credibility ya kusifiwa hata kama kuna jambo zuri.
Hivi huyu Masha kwenye wizi wa Deep Green Finance hausiki?
I am not sure if we are in the same wave length!
I agree to differForget wavelengths, it appears we are separated by multiverses.
I agree to differ
Amini usiamini yupo jamaa kaanza kufuatilia hii issue ya taka takribani miaka miwili sasa. na hiyo manispaa ya dar-es-salaam sijui or whatever they call themselves walikuwa hawana lolote kuhusu mbinu za kisasa. jamaa kawaandikia namna za kufanya kazi na kila siku wanakuja na maswali mapya anawajibu. Last i heard alikuwa anategemea mbivu leo tena huyu pimbi katokea wapi. Anyway this is not the first he's lost a good idea in Tanzania. Nakuhakikishia hapo kuna plans za skips na incinerators watch that space.I agree to differ
Amini usiamini yupo jamaa kaanza kufuatilia hii issue ya taka takribani miaka miwili sasa. na hiyo manispaa ya dar-es-salaam sijui or whatever they call themselves walikuwa hawana lolote kuhusu mbinu za kisasa. jamaa kawaandikia namna za kufanya kazi na kila siku wanakuja na maswali mapya anawajibu. Last i heard alikuwa anategemea mbivu leo tena huyu pimbi katokea wapi. Anyway this is not the first he's lost a good idea in Tanzania. Nakuhakikishia hapo kuna plans za skips na incinerators watch that space.
unajuaje kama alikuwa anaandika idea zake au anasoma za wenzake na kuzirekebisha au umeshachukua at first maneno ya watu kwenye hii thread (typical tanzanian).Mwambie huyo jamaa yako next time akiwa na idea ya biashara achukue chupa ya chai na kuhamia Rode Garden! Cardinal rule kwa biashara bongo!
unajuaje kama alikuwa anaandika idea zake au anasoma za wenzake na kuzirekebisha au umeshachukua at first maneno ya watu kwenye hii thread (typical tanzanian).
Hivi unaweza kwenda kustimulate brain kwenye kilabu cha pombe kweli hata kama una chupa ya chai (that is if kama ndani kuna chai). Anyway nasikia yupo long tu huko kwenye taka hila kwenye kuzoa tu, jamaa wapo kwenye kutoa gesi (recycling) hila sasa kidogo moto (response sio nzuri) imepungua.
Ok bro nimekuelewa (or i think I have).Yes, you can - Masha's style. Soma vizuri bwana mdogo alivyokuwa anafanya kazi zake rose garden na chupa ya chai! Whatever that means!
Kuokota taka means WASTE MANAGEMENT. kazi nzuri yenye pesa
Kwa nini unamtetea masha kiasi hicho? Je, na wewe ni mmoja wao mafisadi?