Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bagram Army, Jun 12, 2012.

 1. B

  Bagram Army Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimemsikia aliepata kuwa waziri wa Mambo ya ndani Lawrence Masha akihojiwa na EATV akasema anafanya kazi ya kukusanya/kusomba taka toka ktk makazi ya watu, alikana kuwa alikuwa anafanyia kazi zake ROSE GARDEN ila alikubali kuna wakati alikuwa anashinda pale na akasema alikuwa anaenda pale na chupa yake ya chai anakaa hadi usiku mnene.
  Lakini pia kuna tetesi toka Mwanza kuwa alikuwa akienda club anasindikizwa na Defender mbili za polisi na zinalinda club mpaka atakapoondoka, bado ana ndoto za kutumikia umma kama watu watamuomba.

  My take: Sikio la kufa...
   
 2. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nasikia bado analilia ule Mradi wa Vitambulisho vya Taifa.
   
 3. g

  grandpa Senior Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duhhh!
   
 4. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dawa ya kimeo ni kukata. Hicho ni kimeo hivyo kikatwe.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Masha anaweza kuwa na mapungufu yake kama mwanadamu, lakini nimependa jitahada zake za kuleta magari ya kisasa kuzoa taka. Tumechoka na malori yanayomwaga matakataka njiani. Kazi nzuri kijana Lau, ukisafiri iga mazuri.
   
 6. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Maisha ni safari kuna kupanda na kushuka.
   
 7. A

  Awo JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 793
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Hata mimi nakubali ujasiri wa kuendelea kula maisha bila kutegemea ubunge, uwaziri au kuhemea vyeo vya mezani vinavyogawiwa kama njugu siku hizi.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  You guys have failed to understand Lau... he is a great success businesswise

  Kampuni yake ni kubwa, bado ni lawyer (sio ganga njaa), na majibu aliokua akitoa kama ulimsikiliza vyema alikua anakebehi wauliza maswali zaidi ya kuweka vitu wazi

  Ati anatoka na chupa ya chai home kwenda kushinda rose garden hadi usiku mnene!!

  He is way too ahead of the game

  kazi kwenu
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Karibu Jamvini
   
 10. B

  Bob G JF Bronze Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Cheo ni dhamana,
   
 11. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kauli ya Masha kwenda na Chai Rose Garden,Ilimfanya Mama Watoto wangu,asisitize kuwa kwenda Bar sio lazima kwenda KUNYWA! duh itabidi aniombe RADHI!
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Nawashangaa mnaokubaliana na dhihaka ya Masha,he is still smart economically!
   
 13. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Usimdharau mtu na kazi yake,anaokota taka for special mission ya upelelezi
   
 14. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  hapo kashuka?

  Nadhani kazi anayoifanya kwa sasa tunahitaji aifanye kuliko kazi ya waziri (ambayo nadhani wewe ndo unaiona ilimpandisha).

  Go Masha, kuwatumikia wananchi sio lazima uwe head wa wizara au mbunge.
   
 15. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Makubwa..... kwenda bar na chai yako???? sijui niseme yuko ki town zaidi.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  watanzania tuna very poor indicators za kupima success

  sijui nijivunie uanasiasa au biashara yangu mwenyewe??? wasio na vision watasema uanasiasa...

  tuna matatizo makubwa sana aisee
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Masha kimeo tu ampeleleze nani, kwa maslahi ya nani? Usiogope mkuu
   
 18. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  We Ulimwelewaje?? Fafanua... Kampuni kubwa kwani nani kauliza?
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Uwaziri ni umungu mtu kiasi kwamba mtu ukiwahi kuwa waziri huwezi kufanya kazi nyingine?

  Kuzoa takataka ni kazi ya shetani kiasi kwamba binadamu hatakiwi kuifanya?

  Unachotaka kusema ni nini kuhusu huyu mzee wa "irregardless"?
   
 20. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,413
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  lawyers lawyers IMMA advocates..hela ipo hamna njaa..
   
Loading...