LATRA na kupanda kwa nauli

LATRA na kupanda kwa nauli

Tatizo sekta ya mafuta inashikwa na hao hao viongozi wa chama,na kwenye usafirishaji nako magari ni yao! I see tuna kazi kubwa sana,
Kila mafuta yanapopanda wanakuja kutetea na kulinganisha na bei ya USA wakati USA mtu anapata kipato kikubwa kuliko Tanzania inashangaza sana..
 
Back
Top Bottom