Lamomy is back

Status
Not open for further replies.
Poa, siwapendi kweli kweli mboga mboga.
Nyie ndo chanzo cha watu kuvaa malapulapu hadi maofisini wanashindwa kuafford nguo mpya hata ya mchina..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kwahiyo hapo ndio umenitukana?
 
watatii huu mwaka
aiseee
 
Ankal umeiona second warning? Ya tatu ndio nitolee.. Chezeni kwa step๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mods nao sitaki nataka.
Sasa mi nna madhara gani? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Halafu watu wenyewe wanasemea pembeni hata hawaji huku, huko selfika nna ban.

Vichaa wenyewe hata hawana mapya yote ya zamani. Wanasubiri mimi niwape topic ya kudiscuss.. km sasa hivi huko wanaongelea kuhusu blauzi yao ya afu tatu..!! Si umeona lakini ankal ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
hakyanan sijawah ona
ila wasamehe....
tayari washakaa kwa line
Washakaa wamebaki na maumivu mana mimi nawapa moja tu wamebaki wanaugulia kila uzi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 

Uduguu nilikumic pia, mie ndio nimefunguliwa Leo asubuhi.
Ko selfika wameku ban usitoe comment wala ku reply? Ila modes nao khaaah.
 

Uduguu mie sitaki ujuee, khaaaah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ