Laki tano tu unaweza badilisha historia

Laki tano tu unaweza badilisha historia

Kama wewe Masanja mungu amekujalia ukalima ukafanikiwa mshukuru mungu sana hiyo bahati kwani kama ni kulima robo tatu ya watanzania ni wakulima lakini mpaka leo hawaja fanikiwa mim ndugu alilima mahindi ekati 200 yalikauka yote mpaka na alikufa kwa presha kwahiyo sio kila alimae anatajirika bahati pia kwani wakulima wote mnaolima huko mbarali wote ni mataji kama wewe ukipata shukuru acha kejeli kwa ambao hawaja fanikiwa
 
Kaongea upuuzi mtupu.
500,000 imudu kuhudumia eka2 za tikiti??
Masanja aache dharau, watu tupo field kitambo sana tunajua masahbu ya kujihusisha na kilimo.
Yeye angekuwa ana upeo kihivyo asingekimbilia mjini kusaka mtaji mkubwa then akarudi kijijini kulima ekari50+ na kutusua maisha!
Kilimo sio lelemama na nizaidi ya kuwa na mtaji....
 
Sio rahisi kama Masanja alivyo rahisisha.
Bi mkubwa analima sana, tena kwa gharama kubwa halafu mwisho wa siku serikali inamkataza asiuze nje kwa maana yenyewe itakuja kununua mazao yote lakini kwa mkopo...... si rahisi hata kidogo....

Mbona mnapenda saana kupinga jaman,ww unajua huyo kawekeza ndani ya miaka mitatu ndo kafika hapo? kwa ufahamu wangu,si chini ya miaka kumi,which means chukua umri wake alionao saiv,toa miaka kumi.utapata kujua jamaa alianza hizo shughuli akiwa na umri gan,, changanueni bongo zenu vijana,hakuna linaloshindikana ukiwa na malengo thabiti
 
Msiwe wakatishaji tamaa wadau,,wengine ndo kwaaanza tunataka tuingie kwenye hyo tasnia ya kilimo.Tatizo lenu mnawaza mnawaza leo tu na kesho,hamuwek plans za muda mrefu
 
watu wote wanapenda kutajirika na kuwa na maisha mazuri lakini siyo kazi rahisi kama anavyofikiria. Je,ukienda kulima kilimo cha matiki maji au maharage alafu mabadiliko ya hali ya hewa yakakuadhiri? Je,bank teller akienda kijijini kulima,huduma za kibenki mtazipatia wapi na nani atawahudumia na kuwatunzia hela zenu?
Je,unadhani kwamba bank teller ndo mwenye kipato kidogo kuliko wote? kwa nini asingewaambia wasaidizi wa ndani wapige kazi kwa miezi kadhaa kisha wakishapata hiyo laki tano warudi kijijini wakalime?
Ukweli ni kwamba wote tunategemeana na itabaki kuwa hivyo.
anawadharau bank tellers na wote wenye kipato cha chini paipo kujua kuwa hata matajiri wakubwa zaid yake pia wanamcheka yeye.
Huu uzi ni mawazo ya mtoa mada kwa asilimia Mia moja. Sio masanja aliyeyasema haya.
 
Sio rahisi kama Masanja alivyo rahisisha.
Bi mkubwa analima sana, tena kwa gharama kubwa halafu mwisho wa siku serikali inamkataza asiuze nje kwa maana yenyewe itakuja kununua mazao yote lakini kwa mkopo...... si rahisi hata kidogo....

kwa nini usimshaur mama ako alime vitu vingine. sio lazima kila unacholima uuze nje ndio uwe tajir mkuuu.
 
Inanikumbusha Jacky Cliff na nyodo kwenye Nirvana kuwa anavaa designer stuff km Kim Kardashian, kwake ni no fake zone.
Hakuna marefu yasokuwa na ncha
Mtuwachee wenye vipato halali na tunaipa serikali hady kodi
 
Kama wewe Masanja mungu amekujalia ukalima ukafanikiwa mshukuru mungu sana hiyo bahati kwani kama ni kulima robo tatu ya watanzania ni wakulima lakini mpaka leo hawaja fanikiwa mim ndugu alilima mahindi ekati 200 yalikauka yote mpaka na alikufa kwa presha kwahiyo sio kila alimae anatajirika bahati pia kwani wakulima wote mnaolima huko mbarali wote ni mataji kama wewe ukipata shukuru acha kejeli kwa ambao hawaja fanikiwa

Mbona kama umebase in a negatively saaana mkuu..One thing to remind you..katika kilimo uwe na malengo,pia lazima ukubali changamoto,hivyo hupasw kukata tamaa..ww unazijua changamoto za waliofanikiwa lkin? unayajua madhira waliyo yapitia mpaka wakafika pale walipo? UNLESS UWE MWANASIASA TENA FISADI
 
Mbona mnapenda saana kupinga jaman,ww unajua huyo kawekeza ndani ya miaka mitatu ndo kafika hapo? kwa ufahamu wangu,si chini ya miaka kumi,which means chukua umri wake alionao saiv,toa miaka kumi.utapata kujua jamaa alianza hizo shughuli akiwa na umri gan,, changanueni bongo zenu vijana,hakuna linaloshindikana ukiwa na malengo thabiti
Ndugu yangu unajua hapa nazungumzia ishu anayoipitia mama yangu mzazi hivyo sizungumzi kishabiki bali uhalisia. Sikatai kuwa kilimo kimewatoa baadhi ya watu ila kiukweli mazingira sio rafiki hata kidogo. Nakupa mfano. Mama alilima hekari nane za mahindi, kuanzia kwenye kuandaa shamba hadi anavuna alitumia pesa nying sana. Baada ya kuvuna wakaja wakenya wakasema watayanunua hayo mahindi yakiwa huko huko shambani kwa debe shilingi elfu sita. Serikali ikapiga marufuku kuuza mahindi kwa wageni kwa maana itayanunua yote. Imefika siku ya siku eti serikali inakuja kununua kwa debe shilingi elfu tano halafu inabidi usafirishe kutoka shambani hadi ghalani. Mahindi yamefika ghalani eti serikali haina hela eti ikakopa. Maza akakaa wiki tatu hajapewa pesa yake na hapo mi natakiwa nipate ada kutokana na hela hizo hizo. Ishu kama hizi halafu Masanja anakuja na maneno yake ya ki.senge utamuelewa kweli?
 
Sio kweli, fixed costs za kilimo utampa nani na je followup?
Afadhali umeliona hilo mkuu maana tunasahau kuwa kuna gharama zingine nje ya Direct cost ambazo ni Indirect na Fixed cost na je unauhakika gani kuwa utavuna na kupata soko zuri?

Ila pia ni wazo zuri kwa mtu ambae yuko commited ina maana ukiondoka usiangalie nyuma ww uangalie mbeleee tu.
 
Ahsantee bro
Sawa dada, Kwenye maisha tujifunze kuutumia ulimi wetu vizuri

70% ya Watanzania ni wakulima na wafugaji ,Mbona wote hawana maisha aliyo nayo Masanja ??

Serikali yetu ilikuja na kauli mbiu yake ya kilimo kwanza ,Matokea ya hiyo kilimo kwanza ni yapi ??

Ashukuru Mungu amepata opportunity akaitumia vizuri kwa manufaa yake lakini isiwe sababu ya kuwabeza wengine ,
 
kwa nini usimshaur mama ako alime vitu vingine. sio lazima kila unacholima uuze nje ndio uwe tajir mkuuu.
Maisha ya Tanzania hayakupi fursa nyingi kama hivyo unavyodhani mkuu, hayo yote tuliyafikiria mkuu. Tanzania ni ngumu sana mkuu
 
Nadhani masanja ametoa changamoto tu Kwa vijana waliopo dar ambao wanafanya kazi zenye mshahara mdogo lakini wanakomaa tu kuuza sura mjini. mwisho wa siku kazi kama ya kilimo sio lazima ufanye peke yako kwani wanaweza anzisha vikundi kama vya ndugu, marafiki, co- workers ili kujiwezesha na kurahisisha utendaji.
 
Back
Top Bottom