Laki si Pesa, Pdidy, Shyland

Laki si Pesa, Pdidy, Shyland

mpwa unajua jina la mtu linaumba

ukisoma mwanzo 1;1-10
MUNGU ALIKUWA ANATOA MAJINA WEWE UTAKUWA OAKA..WEWE KENGE WEWE UTAKUWA SIMBA WEWE NI MAMBA WWEWE NI NYOKA WA KULE SONGEA WA KAPEWA WE UTAKUWA KOMBA WEWEE,,WEWEE TEMBO WEWE......SASA UKISOMA TABIA YAO UNAKUTA MAJINA YA NGUVU SANA

SASA UNAKUTA MTU ANA MIKONO ANAITWA TEABAG ....KESHO SI ATAKUWA PERCEL YA MTU...??MSAMEHE MPWA NI PM IJUMAA TUKAE CALABASH AKIKISHA HOE YUPO PEKEE YAKE ASIJE NA MABAUSNSA WAKE...
CC MATOLA

Ha ha ha ha ha ha ha mpwa ulipotelea wapi? au kipingo cha timu yetu ya jagwani uliumwa gafura ukapelekwa muhimbili. ha ha ha ha wera wera weraaaa! ha ha ha ha khe khe khe! uuuh.
 
haahaaaaa mpwaa umeniacha hoi nilikuwa sehemu nachafua passport kidogo niko ndani ya mji mpwa niambie wapi ila serena sikai sikuhizi hadi stroke unamkuta uko aahaaaaaaa am kidn

mpwa shy wapi???usharudi???tupate kikombe na jamaa ombi langu tuu mmh mwaky nae alikula kikombe uliona mamembo yake mpaka india ...haahaa mpwa karibu ni pm ila najilipia tunaogopa sana kulipiwa usije tudai

Ha ha ha ha ha ha mpwa kesho najiadaa kupanda treni tiyari kurundi kuwaona ng'ombe wangu.
 
haahaaaaa mpwaa umeniacha hoi nilikuwa sehemu nachafua passport kidogo niko ndani ya mji mpwa niambie wapi ila serena sikai sikuhizi hadi stroke unamkuta uko aahaaaaaaa am kidn

mpwa shy wapi???usharudi???tupate kikombe na jamaa ombi langu tuu mmh mwaky nae alikula kikombe uliona mamembo yake mpaka india ...haahaa mpwa karibu ni pm ila najilipia tunaogopa sana kulipiwa usije tudai

Mpwa naomba tu nikulipie na mdogo wako Shy land

CC: Raimundo
 
Last edited by a moderator:
Mpwa tuwasiliane asbh basi tupate hata kachai pale kfc mpwa ......
 
mpwa naomba tu nikulipie na mdogo wako shy land

cc: raimundo

mpwa umedhamiria kweli ok tutalipia nusu mpwa kulipiwa full hata familia inaumia...cheki na shy anawahi ngombe zake asbh sijui anaenda kufumania anyways niko nyuma yako mpwa ....pikpik vipi huko kwenye kikombe zinafika isiwe mabopande lakini
 
Ha ha ha! Huu mstari umejaa ukakasi.

CC Steph Curry
 
Last edited by a moderator:
kila watu walikuwa wanataka kutufananisha lakn ukweli ni kwamba huyu ni ndugu yangu anafanya kazi zake dar! kwa taarifa alizonipa kulikuwa na thread kuhusu upotosha wa kifo cha bibi yetu mary nyerere.

yeye akakome kimuzaha kwamba ccm inahusika kalabwa lifeban

Mkuu imekuaje hata ID yako nyingine kufungiwa?
Shy land

Multiple IDz at work!
Post ya 14 ya Tee Bag inaonesha ime quote bush land, halafu baada ya kifungo kuisha ukaja shy land. bado unamuita bush land si wewe? huu mchezo si wewe tu mkuu unaeujua.. lol
 
mkuu yaani ukitaka kuishi kwa amani humu dili na mambo yako yaani ukitaka kujua pddiy kwanini simuyake inaandika hivi ..or sherry ana id 3 shuwine ana id 10 patel ana id 4 ur lost njoo clabash ijumaa nikupe mwongozo wa jf uishi kwa amani kuanzia saa6 kabla ya hapo unajilipia mwenyewe kinywaji
 
kila watu walikuwa wanataka kutufananisha lakn ukweli ni kwamba huyu ni ndugu yangu anafanya kazi zake dar! kwa taarifa alizonipa kulikuwa na thread kuhusu upotosha wa kifo cha bibi yetu mary nyerere.

yeye akakome kimuzaha kwamba ccm inahusika kalabwa lifeban

Mkuu imekuaje hata ID yako nyingine kufungiwa?
Shy land

mkuu yaani ukitaka kuishi kwa amani humu dili na mambo yako yaani ukitaka kujua pddiy kwanini simuyake inaandika hivi ..or sherry ana id 3 shuwine ana id 10 patel ana id 4 ur lost njoo clabash ijumaa nikupe mwongozo wa jf uishi kwa amani kuanzia saa6 kabla ya hapo unajilipia mwenyewe kinywaji

Ujinga ni pale unapokana kitu chako mwenyewe ....
 
ujinga ni pale unapokana kitu chako mwenyewe ....

ujinga zaidi ni pale unapo faiti na mhusika usiemjua na wala hutomjua alafu ata jina lakee ni la uongo
wangu ni ushauri tu
 
ujinga zaidi ni pale unapo faiti na mhusika usiemjua na wala hutomjua alafu ata jina lakee ni la uongo
wangu ni ushauri tu

Mkuu leo naona mwandiko umenyooka vipi upo likizo nini maana kuandika msg huku unaendesha pikipiki inahitaji moyo jombaa
 
mpwaaa hahaaaa haaaaa haaaaa umeogopa naomba usitoe shillingi nabadilisha usemi mpwa
ngoja niongeze bundlee

Haya mpwaa, mabando yenyewe ya MB 8, ile unaingia tu unapata meseji ya zimebaki MB 2.0!
 
Haya mpwaa, mabando yenyewe ya MB 8, ile unaingia tu unapata meseji ya zimebaki MB 2.0!

haahaaa umenichekesha mpwa nilikuwa arusha ka x kamoja kakataka kunikumbukia nikamwambia mb 8
nikurudie una ninii??
 
haahaaa umenichekesha mpwa nilikuwa arusha ka x kamoja kakataka kunikumbukia nikamwambia mb 8 nikurudie una ninii??

Ha ha ha! Mpwaa unajua niko ofisini nafanya kazi za watu hafu unanichekesha kwa sauti!
 
ujinga zaidi ni pale unapo faiti na mhusika usiemjua na wala hutomjua alafu ata jina lakee ni la uongo
wangu ni ushauri tu

h a ha ha ha ha ha ha ha mpwaa mb 8 ni janga la kitaifa nimeweka tena. nimekukuta unahangaika na jamaa kumwelewesha lakin hataki kukuelewa. achana naye. watu wanavyokasilika kuona mtu ana id mbili utafikiri ni chadema na mlinzi wa slaa.
 
Yaani ni shida mbaya kuwaelimisha bado awatakii kuelewa mpwa umekamata tireeniiiii mpwa ama utaki kufumaniaaa??
 
Yaani ni shida mbaya kuwaelimisha bado awatakii kuelewa mpwa umekamata tireeniiiii mpwa ama utaki kufumaniaaa??

Mpwaa mwezi wa nane nitakuwa dar kushiriki mbio za riadha kitaifa, tuombe mungu na mwaka huu yafanyika uwaja wa taifa, au subiri niwasilieane na selumani nyubui anipe ratiba kamili, nitakupa jibu mpwa wangu Pdidy.
 
Last edited by a moderator:
Pdidy aka mpwa mi ndo namkubali, anakuwaga na nondo za ukweli ila anazi-code, mpaka umalize paragraph na uilewe lazima misuli ya kichwa iwe imesimama.

huyu jamaa mimi nahisi ni mla gambe. comments zake zingine zinakosaga ushirikiano na topic.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom