Laki si Pesa, Pdidy, Shyland

Laki si Pesa, Pdidy, Shyland

Pdidy nuksi hao wote wakasome akikuvurua unavurugika kweli

Jamaa anakuwa na ripoti zake ngumu kusoma ila inabidi ukomae mpaka uelewe nini anachomaanisha, maana zinavutia ila kusoma ni kama kukokotoa namba.
 
Last edited by a moderator:
Pididy nilimkubali sana na thread zake za pale ocean road mara mtu kaliwa tigo.
 
Laki sii pesa level nyingine. Ana akili mara 100 zaidi ya Lizaboni au Chabruma
 
mshana jr mtani come this way amesema anataka kutupa kikombe cha chai lakini naomba mimi na wewe tupate ile yetu mbeke iliyowekwa msesewe
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa kama ndugu wa karibu wa shy land napenda kukutalifu ID ya shy land hutoiona tena. labda aje na ID nyingine. thanks

Utakua lini wewe, rudia kusoma utumbo ulioandika hapo juu nani kafungiwa nani kaleta taarifa
 
Bado nasubiria thread ambayo nitawakuta hawa ndugu zangu kwa umoja. Hawa jamaa huwa wananivunja mbavu sana kwa comment zao humu.

Pasipo na ubaya nimeona leo niwaweke pamoja hapa tubadilishane mawazo kidogo. Naomba ruhusa ya kiranja wa jukwaa mshana na mama wa jukwaa miss chagga.

Ningetamani siku moja nijumuike na hawa watu tupate hata kikombe cha kahawa.

CC: laki si pesa Pdidy Shyland


haahaaaaa mpwaa umeniacha hoi nilikuwa sehemu nachafua passport kidogo niko ndani ya mji mpwa niambie wapi ila serena sikai sikuhizi hadi stroke unamkuta uko aahaaaaaaa am kidn

mpwa shy wapi???usharudi???tupate kikombe na jamaa ombi langu tuu mmh mwaky nae alikula kikombe uliona mamembo yake mpaka india ...haahaa mpwa karibu ni pm ila najilipia tunaogopa sana kulipiwa usije tudai
 
Mwambie huyo jamaa akuletee maneno yangu ya uongo!

mpwa unajua jina la mtu linaumba

ukisoma mwanzo 1;1-10
MUNGU ALIKUWA ANATOA MAJINA WEWE UTAKUWA OAKA..WEWE KENGE WEWE UTAKUWA SIMBA WEWE NI MAMBA WWEWE NI NYOKA WA KULE SONGEA WA KAPEWA WE UTAKUWA KOMBA WEWEE,,WEWEE TEMBO WEWE......SASA UKISOMA TABIA YAO UNAKUTA MAJINA YA NGUVU SANA

SASA UNAKUTA MTU ANA MIKONO ANAITWA TEABAG ....KESHO SI ATAKUWA PERCEL YA MTU...??MSAMEHE MPWA NI PM IJUMAA TUKAE CALABASH AKIKISHA HOE YUPO PEKEE YAKE ASIJE NA MABAUSNSA WAKE...
CC MATOLA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom