Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
- Thread starter
- #21
Mkuu analo,tatizo vigezo vingine zaidi vimemwangusha.Hasa hasa la kambi yake ya Urais Lakisipesa
Ni kweli huyo yuko kambi ya EL
Mkuu analo,tatizo vigezo vingine zaidi vimemwangusha.Hasa hasa la kambi yake ya Urais Lakisipesa
hahahahaha Mkuu umejuaje yote hayo.. au ulimpandia hewani
laki si pesa anahasira ameukosa ukuu wa wilaya sababu hana mzigo wa kumshawishi mkulu
View Profile: Shy land
User Name: Shy land
User Title: Banned
Last Activity: 3 Hours Ago
Alikujaga na Thread moja ya watu kukabwa ocean road... hatari sana
R.I.P ID ya shy land
Shy land nimesoma naye namjua kila kitu hata michongo ya kibashara huwa tunafanya naye ikibindi.
Nakumbuka, harafu haikuwa moja, alileta nyingine ya hapo hapo Ocean Road mpaka jamaa wakahisi labda ni askari wa doria.
kila watu walikuwa wanataka kutufananisha lakn ukweli ni kwamba huyu ni ndugu yangu anafanya kazi zake dar! kwa taarifa alizonipa kulikuwa na thread kuhusu upotosha wa kifo cha bibi yetu mary nyerere.
yeye akakome kimuzaha kwamba ccm inahusika kalabwa lifeban
R.I.P id yA sHylAnd juKwaani.
Shy land nimesoma naye namjua kila kitu hata michongo ya kibashara huwa tunafanya naye ikibindi.
Huyu jamaa hajui kanuni za uongo
"Ukiwa muongo usiwe msahaulifu"